Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1651 results for Daudi Elibahati :

  1. PRIME Ahoua bado rekodi mbili

    MABAO mawili aliyoyafunga kiungo nyota mshambuliaji wa Simba, Jean Charles Ahoua, juzi katika ushindi wa 6-0 dhidi ya Dodoma Jiji, unamfanya kunyatia rekodi mbili kwenye michezo minane iliyobaki...

  2. Mkongomani Tabora kuiwahi Yanga

    KOCHA wa Tabora United, Mkongomani Anicet Kiazayidi anatarajiwa kuuwahi mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga utakaochezwa Aprili Mosi mwaka huu kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora,...

  3. FA yampa mzuka Mcameroon

    BAADA ya Kagera Sugar kumrejesha aliyekuwa mshambuliaji wake raia wa Cameroon, Moubarack Amza kutoka Namungo, nyota huyo amesema anajisikia furaha katika timu hiyo kutokana na kuanza kufunga mabao.

  4. Championship shughuli inaendelea

    LIGI ya Championship inaendelea tena kurindima wikiendi hii, ambapo baada ya jana kuchezwa mchezo mmoja, leo mingine miwili itapigwa kwenye viwanja mbalimbali, huku raundi ya 23 ikitarajiwa...

    CHAMP Pict
  5. PRIME Aishi Manula kuna nini?

    YUKO wapi Manula? Kuna nini kinaendelea? Ni maswali yanayosumbua kwa sasa vichwani mwa mashabiki wa soka baada ya kipa huyo tegemeo wa timu ya Taifa kutoonekana uwanjani kwa muda mrefu.

    MANULA Pict
  6. PRIME Sakata la Simba linavyoweza kuipa Yanga ubingwa

    NDO hivyo bwana! Kitendo cha Simba 'kugomea' mchezo wa Dabi ya Kariakoo dhidi ya Yanga kabla ya Bodi ya Ligi kubariki kwa kuahirisha bila kuzingatia kanuni za Ligi Kuu, kinaifanya timu hiyo ya...

  7. Mwambusi aitangazia vita Yanga

    KOCHA wa Coastal Union, Juma Mwambusi amesema wanahitaji nidhamu bora ya kiuchezaji wakati kikosi kikijiandaa kuivaa Yanga Machi 12, kwenye mchezo wa Kombe la FA hatua ya 32 utakaopigwa Uwanja wa...

    MWAMBUSI Pict
  8. Straika Fountain Gate aomba muda

    MSHAMBULIAJI wa Fountain Gate, Mudrik Abdi Shehe ‘Gonda’ amesema licha ya kutoanza vizuri hadi sasa katika timu hiyo michezo mbalimbali ya Ligi Kuu Bara, ila anaendelea kuzoea mazingira taratibu...

    MUDRICK Pict
  9. Laizer aweka mikakati TMA

    KOCHA Mkuu wa TMA FC ya jijini Arusha, Mohamed Ismail 'Laizer', amesema moja ya changamoto kubwa kwenye kikosi hicho ni kutokuwa na balansi nzuri katika eneo la uzuiaji na ushambuliaji, ingawa...

    LAIZER Pict
  10. Mwalwisi arejesha majeshi Mbeya Kwanza

    ALIYEKUWA Kocha Mkuu wa TMA, Maka Mwalwisi amerejea kukifundisha kikosi cha Mbeya Kwanza katika michezo iliyobakia, akichukua nafasi iliyoachwa na Emmanuel Masawe aliyeanza nacho msimu huu wa...

    MWALWISI Pict
Previous

Page 15 of 166

Next