Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1175 results for Charles Abel :

  1. Samson Mbangula kukosa mecho zote Ligi Kuu

    STRAIKA tegemeo wa Tanzania Prisons, Samson Mbangula atakosa mechi zote zilizobaki msimu huu baada ya kufanyiwa upasuaji wa goti, Jumatatu wiki hii, katika Taasisi ya Mifupa ya Muhimbili (MOI)...

    Mbangula Pict
  2. AKILI ZA KIJIWENI: Tabora United tunawasubiria tuwaone tena

    TUMEWAONA Tabora United katika mechi 16 walizocheza kwenye Ligi Kuu msimu huu, walikuwa wa moto kweli na haikuwa rahisi kupambana nao ndani ya uwanja.

  3. AKILI ZA KIJIWENI: Ikanga Speed afanye kazi hasa Yanga

    JUMAMOSI iliyopita tulikuwa na hamu kweli ya kumuona bwana Jonathan Ikangalombo akiwa na jezi za Yanga katika mechi ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Copco ambayo timu yake ilipata ushindi wa mabao...

    New Content Item (1)
  4. AKILI ZA KIJIWENI: Afcon 2025 tukikaza tunatoboa freshi tu!

    BAADA ya droo ya kupanga makundi ya fainali za mataifa ya Afrika (Afcon) 2025 kukamilika, hapa kijiweni kwetu karibu wote tulikuwa tumeingiwa na ubaridi.

  5. PRIME Imefichuka! Ujanja wa Fadlu uko hapa tu

    KIKOSI cha Simba kinajiandaa kuondoka Dar es Salaam kwenda Tabora kwa ajili ya pambano la kiporo cha Ligi Kuu Bara, huku kikiwa kinaongoza msimamo wa ligi hiyo, lakini ikianikwa siri zinazombeba...

    New Content Item (1)
  6. UCHAMBUZI: Afcon 2025 mzigo upo hivi

    TIMU ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ itakuwa katika kundi C kwenye fainali za Kombe la Mataifa Afrika (Afcon) zitakazofanyika Morocco kuanzia Desemba 21, 2025 hadi Januari 18, 2026.

  7. PRIME Ikanga Speed aibua presha mpya Yanga

    KUNA wachezaji watatu ndani ya kikosi cha Yanga walioibua presha mpya inayoweza kubadilisha upepo ndani ya timu hiyo siku chache zijazo wakati Ligi Kuu Bara itakaporejea.

  8. Ikanga Speed aachiwa Copco

    KIKOSI cha Yanga leo Jumamosi kinaanza rasmi harakati za kutetea ubingwa wa Kombe la Shirikisho la TFF wakati kitakapoikaribisha Copco ya Mwanza kwenye Uwanja wa KMC Complex, Mwenge jijini Dar es...

    Lombo Pict
  9. Viunzi viwili vibonde Ligi Kuu Bara

    Makocha wa timu nne zinazoshika mkia kwenye msimamo wa ligi kuu Tanzania Bara wana wiki mbili za kujiandaa kujibu mitihani miwili migumu ambayo inaweza kuzifanya mbili zishuke daraja moja kwa...

    Vibonde Pict
  10. AKILI ZA KIJIWENI: Karibu sana kocha Heric wa KenGold

    NAKUKARIBISHA kwa moyo mkunjufu kocha wa mpira Vladislav Heric ambaye umepata shavu hapo KenGold FC ambayo inashiriki Ligi Kuu Tanzania Bara.

    KenGold Pict
Previous

Page 15 of 118

Next