PRIME Shungu aionya Yanga, akimtaja Mpanzu Simba KOCHA wa zamani wa Yanga, Raoul Shungu ameitahadharisha timu hiyo akiwaambia wawe makini na kiungo wa mshambuliaji wa Simba, Elie Mpanzu kutokana na uwezo wake wa kubadilisha mchezo aliokuwa nao...
PRIME Hapa kwenye ukuta Simba SC, Yanga watauana JOTO limepanda kati ya Yanga dhidi ya Simba, mchezo unaopigwa leo pale Uwanja wa Benjamin Mkapa.
PRIME Kibu atoa kauli hii Dabi ya Kariakoo KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Kibu Denis amewapa mzuka mashabiki wa timu hiyo siku chache kabla ya kupigwa kwa Dabi ya Kariakoo kwa kuwaambia kwamba wasihofu kwa vile anawafahamu vyema mabeki wa...
PRIME Aziz KI atinga kambini, afanya kikao na kocha HII inaweza kuwa taarifa njema kwa mashabiki wa Yanga, baada ya kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Stephane Aziz KI kuonekana hospitalini akiwa na mkewe, Hamisa Mobetto, staa huyo ameingia kambini...
PRIME Kocha Simba aipa ushindi Yanga akilitaja deni SIKU zinavyosogelea Dabi ya Kariakoo inayotarajiwa kupigwa Machi 8, mwaka huu, ndivyo mambo yanavyozidi kuwa moto zaidi, huku mijadala juu ya kipute hicho cha raundi ya pili ya Ligi Kuu Bara...
PRIME Mzize, Dube wamvuruga beki Simba UNAJUA vita zinazotarajiwa kutokea wiki hii pale kwa Mkapa? Zipo nyingi kuanzia uwanjani hadi nje ya uwanja wakati watani wa jadi, Yanga na Simba wanapokutana katika mchezo wa Ligi Kuu Bara...
PRIME Dabi ya moto, Miloud aitengea Simba siku mbili YANGA ilirejea Dar es Salaa jana ikiwa na vaibu baada ya kuwafunga Pamba Jiji kwao, Mwanza kwa kipigo cha mabao 3-0, lakini mambo kwa sasa ni Dabi ya Kariakoo inayotarajiwa kupigwa Jumamosi ijayo...
PRIME Kisa Dabi... Mabosi Simba wafanya kitu kwa Che Malone SIMBA inatarajiwa kushuka uwanjani kesho jioni kuikabili Coastal Union, lakini akili za benchi la ufundi na mabosi wa klabu hiyo kwa sasa ni Dabi ya Kariakoo itakayopigwa Machi 8 kwenye Uwanja wa...
Simba na siku nane za kibabe SIMBA imebakiwa na dakika 180 za kibabe katika mbio za ubingwa msimu huu, huku kocha wa timu hiyo, Fadlu David akisisitiza anataka kwanza kumaliza mechi mbili zijazo kabla ya kujipanga kwe...
PRIME Che Malone amshtua Fadlu SIMBA inajiandaa kulihama jiji la Dar es Salaam ili kwenda Arusha kuvaana na Coastal Union kabla ya kurejea kujiwinda dhidi ya Yanga katika Dabi ya Kariakoo itakayopigwa Machi 8, kuna mambo flani...