Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

966 results for Oscar Oscar :

  1. PRIME Mashabiki wanaijua timu kuliko Gamondi?

    MPIRA wa kisasa umebadilika vitu vingi. Zamani wachezaji walikuwa wanacheza kwa namba uwanjani. Siku hizi sio hivyo. Ni mwendo wa kupewa majukumu. Ndiyo maana unaweza kuona mabeki watatu wote wa...

  2. Nyota wa muziki, uigizaji walioteka mwaka huu

    Umepigaje apo! Ni msemo unaovuma kwa sasa kutoka kwa msanii Misso Misondo ambaye ni DJ pia mwimbaji wa muziki wa singeli na kafanikiwa kujizolea umaarufu mkubwa hasa mitandaoni.

  3. PRIME UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Kwa Chama, Benchikha muongo

    Tangu achukue mikoba rasmi ya kuifundisha Simba, Kocha Abdelhak Benchikha amekuwa muongo! Kuna jambo naona ni kutudanganya tu. Clatous Chota Chama na Mzamiru Yassini wamekuwa watu wa kuanzia...

  4. Simba, Yanga zikafungue silaha CAF

    Ukitazama mechi mbili za awali za Ligi ya Mabingwa Afrika, unagundua aliyekuwa mzima amekuwa mbovu na aliyekuwa mbovu amekuwa mbovu! Ni muda wa mashabiki wa soka nchini kuwa na presha na kuishi...

  5. NYUMA YA PAZIA: Tujaribu kumuelewa Cafu au tumpuuze?

    fainali za Kombe la Dunia na kuchapwa mabao saba na Wajerumani. Katika kikosi kile cha Brazil kulikuwa na wachezaji watatu tu walioanza wakitokea katika Ligi Kuu ya England. Kikosi kilichoanza...

    New Content Item (1)
  6. Makocha watano bora wenye umri mdogo

    Leverkusen kuwa moto wa kuotea mbali na ni wazi kwa mwenendo wao wanaweza kutoa changamoto kwenye mbio za ubingwa wa Bundesliga mbele ya Bayern Munich, Dortmund na RB Leipzig ambao wamekuwa...

  7. Yanga wameanza kujiona Man City

    Najua kama Yanga wamewahi kufungwa mpaka 5-0 huko nyuma lakini, sikumbuki mara ya mwisho walipofungwa 3-0! Baada ya miaka takribani 25 bila kucheza hatua ya Makundi Klabu Bingwa Afrika, nilidhani...

  8. Unaonaje Mgunda akirudi Msimbazi?

    UGONJWA wa kuhusudu makocha wa kigeni, bado unalitesa soka la Tanzania. Timu zetu hasa Simba, Yanga na Azam bila kocha wa kigeni, unaonekana ni kama unacheza tu. Kwa nini Simba wasimalize msimu...

  9. Simba inahitaji mapumziko?

    Kwa mujibu wa sheria za mchezo wa masumbwi ukipoteza pambano kwa Knock Out (KO), bondia hutakiwa kupumzika siyo chini ya miezi mitatu kabla ya kupanda ulingoni tena. Unajua kwa nini? KO mara...

  10. Utamu wa Ulaya.. Man United, Arsenal ni vuta nikuvute

    A. Højlund alipitia katika kituo cha kukuza vipaji Copenhagen na kutoboa kwenye soka la ushindani. Wakati anakipiga Copenhagen ya wakubwa alifunga mabao matano kwenye michuano ya UEFA Europa...

Previous

Page 14 of 97

Next