Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1651 results for Daudi Elibahati :

  1. Chikola, Makambo wanyatia rekodi Tabora United

    NYOTA wa Tabora United, Offen Chikola amebakiza bao moja ili kuandika rekodi ya mfungaji bora tangu ilipopanda Ligi Kuu Bara msimu wa 2022-2023 kutokana na kiwango bora anachoonyesha.

  2. Mbeya City yaweka rekodi Shirikisho

    MBEYA City imekuwa ni timu ya kwanza ya Ligi ya Championship kuweka rekodi ya kufuzu hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) msimu huu, baada ya kuifunga Mtibwa Sugar mabao 2-1, Machi...

    MBEYA Pict
  3. Kwa refa huyu, Simba ijipange Cairo

    SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF), limemteua mwamuzi Boubou Traore kutoka Mali kusimamia mchezo wa kwanza wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, kati ya wenyeji Al Masry ya Misri dhidi ya...

    REFA Pict
  4. Bab’kubwa… Dili Hizi zimelipa Ligi Kuu!

    LIGI Kuu Bara imesimama baada ya Ijumaa kupigwa mechi ya kiporo kati ya Simba na Dodoma Jiji, ili kupisha kalenda ya mechi za kimataifa kwa timu za taifa zinazochuana kusaka tiketi ya kufuzu...

    KUBWA Pict
  5. Kipa Dodoma Jiji azipotezea sita za Simba

    KIPA wa Dodoma Jiji, Mkongomani Alain Ngeleka ameingia katika orodha ya makipa waliopigwa mabao mengi katika mchezo mmoja baada ya Ijumaa kufungwa sita wakati timu hiyo ikifumuliwa 6-0 na Simba...

    KIPA Pict
  6. Hat trick zawapa heshima watatu Championship

    WAKATI Kombe la Shirikisho likiwa hatua ya robo fainali, ni mastaa watatu tu wa timu za Ligi ya Championship walioweka heshima kwa kufunga hat trick katika michuano hiyo wakiwapiga bao hadi nyota...

    HAT TRICK Pict
  7. Mechi nane za kimkakati Bigman

    KOCHA wa Bigman FC, Zubery Katwila amesema licha ya kukabiliwa na ratiba ngumu katika michezo minane iliyosalia kumaliza msimu huu, ila amejipanga kuhakikisha kikosi hicho kinamaliza nafasi nne...

    BIGMAN Pict
  8. Julio atua Kiluvya United

    Kiluvya United imefikia makubaliano na aliyekuwa Kocha wa Ruvu Shooting, Julio Elieza kwa ajili ya kukiongoza kikosi hicho hadi mwisho wa msimu huu, akichukua nafasi ya Zulkifri Iddi 'Mahdi'...

    KILUVYA Pict
  9. Yanga kunogesha uzinduzi uwanja mpya wa Singida Black Stars

    VINARA na mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga, wanatarajiwa kuzindua Uwanja wao mpya wa Singida Black Stars uliopo Mtipa mjini Singida, katika mchezo wa kirafiki utakaochezwa Jumatatu ijayo...

    Uwanja Pict
  10. PRIME Vita ya MVP, namba za mastaa hawa zatisha... Safu hizi noma

    UKIZIWEKA kando Simba na Yanga zilizocheza mechi 22 kila moja, timu zingine zinazoshiriki Ligi Kuu Bara msimu huu zimeshuka dimbani mara 23 na kubakiwa na mechi saba kumaliza msimu. Simba na...

Previous

Page 14 of 166

Next