Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

701 results for Damian Masyenene :

  1. Sunzu amuonya Mutale mapema

    HAPA wamelamba dume. Ndivyo anavyosema straika wa zamani wa Simba, Felix Sunzu akizungumzia usajili wa kiungo mshambuliaji mpya wa timu hiyo, Joshua Mutale kutoka Zambia, huku akimuonya asimezwe...

  2. Mwanza sasa kuwa na Uwanja wa Gofu

    WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Damas Ndumbaro amethibitisha kwamba Serikali imeanza mchakato wa kuwezesha ujenzi wa uwanja wa gofu katika jiji la Mwanza ili liendane na hadhi ya majiji...

  3. Geita Gold mambo yametiki

    HOFU kubwa ya mashabiki wa soka mkoani Geita ilikuwa ni hatma ya Geita Gold baada ya kushuka daraja kutoka Ligi Kuu kama Halmashauri ya mji huo itaendelea kuimiliki na kushiriki Championship...

  4. Kagera Sugar kushusha mashine mpya 12

    KIKOSI cha Kagera Sugar kitaanza maandalizi ya kujifua na msimu mpya Jumatatu Julai 8, mwaka huu mjini Bukoba huku kikitarajiwa kushusha mashine mpya 12 na kuweka kambi yake mkoani Shinyanga...

  5. Theresa, Gaguti waula soka la wanawake Mwanza

    WIKI chache baada ya kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Chama cha Soka la Wanawake (TWFA) Mkoa wa Mwanza, Sophia Tigalyoma amefanya uteuzi wa nafasi tano kikatiba na kukamilisha safu yake ya...

  6. Mastaa Umitashumta kuitwa Stars

    WAKATI Shirikisho la Soka nchini (TFF) likiwa limeshapokea barua ya kustaafu kuitumikia Taifa Stars ya nahodha, Mbwana Samatta, Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Damas Ndumbaro ametaja...

  7. Dili la Lawi Simba laipa mzuka Copco

    WAKATI Simba na Coastal Union zikiendelea kuvutana kuhusu usajili wa beki, Lameck Lawi aliyefanya vizuri msimu uliopita kwenye Ligi Kuu Bara, Klabu ya Copco imejivunia kumzalisha na kumkuza nyota...

  8. ‘Thank You’ Fountain zinasubiri kocha mpya

    WAKATI timu nyingine za Ligi Kuu Bara zikianza heka heka za usajili na kuboresha vikosi vyao kuelekea msimu ujoa, uongozi wa Fountain Gate FC ya Mwanza inasubiri kutambulishwa kwa kocha mpya...

  9. Sharti la mkataba lamwondoa straika Geita

    Geita Gold inaendelea kupoteza wachezaji wake baada ya kushuka daraja, ambapo safari hii ni mshambuliaji wake, Ramadhan Kapera ambaye ameachana na timu hiyo kutokana na sharti la mkataba...

  10. Disani: Huyu Aucho, nyie acheni tu!

    DISANI Galiwango ni moja ya mabeki wa kushoto wenye wasifu mkubwa katika Ligi Kuu Bara wakiiongezea thamani na kudhihirisha kukua kwake, ikikamata nafasi ya sita barani Afrika na kuendelea...

Previous

Page 14 of 71

Next