Dube aibuka mshindi mbele ya Aziz Ki, Bwenzi, Hamdi akibeba tuzo ya kwanza MSHAMBULIAJI wa Yanga, Prince Dube na kocha wake, Miloud Hamdi wamebeba tuzo za ubora za Ligi Kuu Bara mwezi Februari.
Winga Mrundi kumng’oa Adebayor Singida SINGIDA Black Stars inapiga hesabu kali za kumbeba winga wa Al Hilal, Jean Claude Girumugisha ili atue katika kikosi hicho kuchukua nafasi ya Victor Adebayor waliye mbioni kumsitishia mkataba...
PRIME Mastaa Yanga walia na Simba kuwanyima mamilioni KAMA kuna kitu kinachowauma mastaa wa Yanga ni kitendo cha watani wao, Simba kuamua kuikacha mechi ya Ligi Kuu ya Dabi ya Kariakoo iliyokuwa ipigwe juzi kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es...
Wafanyabiashara walia kuahirishwa Dabi WAFANYABIASHARA wanaofanya shughuli zao Uwanja wa Benjamin Mkapa, wameonyesha masikitiko makubwa kufuatia kuahirishwa kwa mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Yanga dhidi ya Simba.
Mlionunua tiketi za Dabi ujumbe wenu huu hapa WAKATI mchezo wa Kariakoo Dabi ukiahirishwa, huku mashabiki wakiwa tayari wamekata tiketi swali lililopo ni watarudishiwa fedha zao au ndiyo wamepata hasara?
Licha ya dabi kuahirishwa, Yanga yatinga kwa Mkapa LICHA ya kwamba Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kutangaza kuahirisha mchezo wa Kariakoo Dabi, timu ya Yanga imefika uwanjani kwa lengo la kucheza mechi hiyo iliyopangwa awali kuchezwa dhidi ya...
Shabiki atumia laki tatu kuja kumuona Mpanzu, aambulia patupu SHABIKI wa Simba aliyeonekana kuwa na hasira sana baada ya kupata taarifa ya kuahirishwa kwa mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Yanga na Simba, amefichua kuwa ametumia kiasi cha shilingi laki tatu...
Ngai: Simba inatuhujumu mapato Yanga imesisitiza kwamba haitakubali mchezo wa Dabi ya Kariakoo uliopangwa leo uahirishwe huku ikisema watani wao Simba wanaihujumu mechi hiyo ili kuwanyima mapato.
Yanga yasisitiza kupeleka timu kwa Mkapa leo WAKATI Simba ikitangaza kutocheza mechi ya leo kwa kile ilichokiita kukiukwa kwa kanuni, wenyeji wa mchezo, Yanga wamesisitiza mechi ipo palepale na wao watapeleka timu uwanjani.
PRIME Mzize, Ateba waibeba Dabi ya Kariakoo MWISHO wa ubishi. Wakati pambano la Dabi ya Kariakoo likipigwa leo Jumamosi, huku kila upande ukitamba na washambuliaji wenye uchu mkubwa wa kufumania nyavu, Simba ikiwa na Leonel Ateba, Jean...