Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1175 results for Charles Abel :

  1. PRIME Wakala afunguka kitakacho mng'oa Ngoma Simba

    Mkataba wa Ngoma umebakiza miezi minne hivi sasa ili ufikie tamati na kwa sasa yuko huru kuingia makubaliano ya awali na timu yoyote tofauti na Simba kwa vile mkataba alionao uko chini ya muda...

  2. Ajali yaahirisha mchezo wa Simba vs Dodoma Jiji

    Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imesogeza mbele mchezo baina ya Simba na Dodoma Jiji FC ambao ratiba ya awali inaonyesha ilipangwa kuchezwa Februari 15, 2025 katika Uwanja wa KMC Complex, Dar es...

  3. Fadlu aibuka na msisitizo kuhusu Chasambi

    Simba imemtangaza mshambuliaji wake Ladack Chasambi kuwa mgeni rasmi katika mechi yake leo dhidi ya Tanzania Prisons kwenye Uwanja wa KMC Complex, Mwenge, Dar es Salaam wakati huo kocha wake...

  4. Arsenal kicheko Saka akianza mazoezi ya kurejea

    Winga wa Arsenal, Bukayo Saka ameonekana kuwa katika hatua nzuri ya kurejea uwanjani baada ya picha kumnasa akifanya mazoezi ya gym katika kambi yao huko Dubai.

  5. Ateba afichua siri ya Che Malone Simba

    MSHAMBULIAJI wa Simba, Lionel Ateba amemtaja beki wa timu hiyo, Che Fondoh Malone kama mtu aliyechangia kwa kiasi kikubwa kuzoea haraka maisha ya ndani na nje ya uwanja baada ya kujiunga na klabu...

    Ateba Pict
  6. Kisa Fadlu Davids, Waarabu wabadili gia angani

    Siku chache baada ya kocha wa Simba, Fadlu Davids kupiga chini ofa ya kujiunga na FAR Rabat, timu hiyo ya Morocco imemchukua kocha wa zamani wa Petro Luanda ya Angola, Alexandre Santos.

  7. PRIME Kumeanza kuchangamka! Nabi amng’oa Fadlu Simba

    KABLA ya tukio la Simba kuangusha pointi moja mbele ya Fountain Gate juzi jioni, mjadala ulikuwa kitendo cha kocha wa Yanga, Saed Ramovic kuikacha timu hiyo ndani ya muda mfupi na kuibukia CR...

    Nabi Pict
  8. Rungu la Fifa laigusa Taifa Stars

    Unaweza kusema rungu la FIFA limeigusa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ baada ya kutangazwa uamuzi wa kuifungia Congo kutokana na kosa la serikali kuingilia uendeshaji wa Shirikisho la...

  9. Ahmed Ally ampa Chasambi ujumbe mzito

    Meneja habari na mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amemtaka winga Ladack Chasambi asivurugwe na bao alilojifunga kwenye mchezo dhidi ya Fountain Gate, leo Februari 6, 2025.

  10. PRIME Wataalamu wafunguka ishu ya kadi Fountain Gate vs Simba

    KOCHA Fadlu Davids ameshindwa kuifikia rekodi ya Patrick Aussems ya kushinda mechi 11 mfululizo za Ligi Kuu baada ya jioni ya jana kulazimishwa sare ya 1-1 na Fountain Gate iliyomaliza pungufu...

Previous

Page 13 of 118

Next