Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

685 results for Victoria Melkiad :

  1. PRIME Che Malone atuliza presha Simba

    BENCHI la ufundi la Simba linazidi kukuna kichwa juu ya jereha linalomsumbua beki wa kati, Fondoh Che Malone aliyepelekwa Morocco kwa ajili ya kufanyiwa matibabu kwa lengo la kuwahi mapema kabla...

  2. PRIME Chamou atuliza presha Simba SC

    BEKI wa Simba Chamou Karaboue amewashusha presha mashabiki wa klabu hiyo, hata kama Che Malone Fondoh hatakuwepo lakini amejipanga vizuri kuhakikisha anaendeleza ubora kwenye ukuta wa timu hiyo.

  3. PRIME Kocha Hamdi aanza upya na Ikanga

    BAADA ya kuonyesha uwezo wake ndani ya dakika 66 alizopewa winga mpya wa Yanga, Jonathan Ikangalombo ‘Ikanga Speed’, kocha wake Miloud Hamdi ametaja mambo makuu mawili ambayo Mkongo huyo...

  4. Kocha Azam aanza kupiga hesabu za msimu ujao

    KOCHA wa Azam FC, Rachid Taoussi amesema katika mipango yake msimu ujao, kuhusu usajili anataka wachezaji wenye uwezo mkubwa wa kuipambania timu hiyo.

  5. PRIME Hamdi ajichorea ramani ya ubingwa

    LIGI Kuu imesimama hadi Aprili Mosi wakati ngarambe ya lala salama itapigwa hadi bingwa wa msimu huu atakapopatikana Mei 25, lakini kocha wa watetezi wa taji hilo Yanga, Miloud Hamdi amejipata...

    HAMDI Pict
  6. PRIME Hizi hapa silaha tatu za Hamdi Yanga

    KIKOSI cha Yanga jana kilikuwa uwanjani kuvaana na Coastal Union katika mechi ya hatua ya 32 Bora ya Kombe la Shirikisho, lakini mapema kocha mkuu wa timu hiyo, Miloud Hamdi aliweka wazi silaha...

  7. Maxi apiga mbili Yanga ikifuzu 16 Bora Kombe la FA

    YANGA imefuzu hatua ya 16 Bora ya michuano ya Kombe la Shirikisho kwa ushindi wa mabao 3-1 huku Maxi Nzengeli akitupia mabao mawili katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar es...

  8. Kocha Burkina Faso afunguka sababu kuwatema Aziz KI, Nouma

    KIUNGO mshambuliaji nyota wa Yanga, Stephane Aziz KI na beki wa kushoto wa Simba, Valentin Nouma, wametemwa katika kikosi cha timu ya taifa ya Burkina Faso kinachojiandaa kwa mechi mbili za...

  9. Mashujaa ina listi ya makocha watano mezani

    MASHUJAA bado inapambana na hali yake ikiumiza kichwa juu ya kocha gani impe jukumu la kuisimamia timu hiyo katika mechi saba zilizosalia za Ligi Kuu Bara.

    MASHUJAA Pict
  10. PRIME Ripoti ya Fadlu yamvuta Fei Toto Msimbazi

    ACHANA na kile kinachoendelea Msimbazi kwa sasa juu ya Simba kugomea mchezo wa Dabi ya Kariakoo dhidi ya Yanga uliotakiwa kupigwa Jumamosi, Machi 8, mwaka huu, kando ya hilo kuna mambo mengi...

Previous

Page 12 of 69

Next