Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1647 results for Daudi Elibahati :

  1. Timu hizi ukilenga tu imo

    WAKATI ikibakia michezo mitano kwa ajili ya kumalizia msimu huu wa 2024-2025, timu ya African Sports imekuwa kinara wa kuruhusu mabao zaidi hadi sasa (50), ikifuatiwa na maafande wa Green...

    TIMU Pict
  2. Mwalwisi akomalia Top Four Mbeya Kwanza

    KOCHA wa Mbeya Kwanza, Maka Mwalwisi amesema kikosi hicho bado kina nafasi ya kumaliza nafasi nne za juu 'Top Four' kwa michezo iliyobakia, huku akiwataka wachezaji wa timu hiyo kuendelea...

    MWALWISI Pict
  3. Jamaa wameupiga mwingi Ligi Kuu Bara

    WAKATI Ligi Kuu Bara inatarajiwa kurejea Jumanne, Aprili Mosi baada ya kupisha kalenda ya mechi za kimataifa kwa timu za taifa. Siku hiyo utapigwa mchezo mmoja na mabingwa watetezi Yanga itakuwa...

  4. Huyu ndiye 'MK14' anayezeeka na utamu wake

    UNAPOTAJA nyota wa kigeni waliofanya vizuri na kujiwekea rekodi za kipekee, hutoacha kumtaja mshambuliaji wa zamani wa timu za Simba, Singida Big Stars na sasa Namungo FC, Meddie Kagere ‘MK14’...

    MEDDIE Pict
  5. Championship kuna vita nyingine Mbeya

    BAADA ya jana kupigwa michezo mitatu ya Ligi ya Championship katika viwanja mbalimbali, leo mechi moja nyingine itapigwa kati ya wenyeji Geita Gold dhidi ya Cosmopolitan, huku macho yakielekezwa...

    MBEYA Pict
  6. PRIME Simba Yatanguliza silaha 6 Misri

    SIMBA inashuka kwenye Uwanja wa KMC Complex Alhamisi kwa ajili ya mchezo wa hatua ya 16, bora wa Kombe la Shirikisho (FA), dhidi ya timu changa ya Bigman FC. Lakini mabosi wa kikosi hicho hesabu...

  7. Coastal Union na misimu mitatu chonganishi

    KIKOSI cha Coastal Union kinajiandaa na mchezo ujao wa Aprili 3, ugenini dhidi ya Kagera Sugar, huku ikiwa bado haiko salama sana kitakwimu katika janga la kushuka daraja, kutokana na pointi 25...

  8. Mastraika Mbeya City wanogesha hat trick

    WAKATI zikibaki mechi sita kuhitimisha msimu huu wa Ligi ya Championship, washambuliaji wa Mbeya City wamekuwa tishio kufunga mabao matatu kwa mechi moja yaani ‘hat-trick’, tofauti na nyota...

    Mbeya Pict
  9. Ushambuliaji, ulinzi tatizo Fountain Gate

    BAADA ya mapumziko ya takribani siku tano, kikosi cha Fountain Gate kimerejea kambini kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Singida Black Stars, Aprili 2, huku kocha wa kikosi hicho...

    FG Pict
  10. PRIME Robo fainali CAF... Mechi ipo hapa

    KIKOSI cha Simba kinatarajiwa kuondoka nchini Ijumaa ya Machi 28 mwaka huu kwenda Misri kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Masry...

    CAF Pict
Previous

Page 12 of 165

Next