Chama la Wana vita bado inaendelea LICHA ya Stand United 'Chama la Wana', kuchapwa mabao 2-0 na Mbeya City Machi 30, 2025, kocha wa timu hiyo, Juma Masoud amesema kichapo hicho kwao hakijawatoa katika mbio za kuwania tiketi ya...
Yanga yaipiga Tabora United, Dube, Mzize wamkaribia Ahoua KISASI ni haki! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga SC kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Tabora United, katika mchezo uliopigwa leo kwenye Uwanja wa...
Championship kumenoga, kuna vita nzito VITA ni nzito! Ndivyo unavyoweza kusema kuhusu Ligi ya Championship baada ya kubakisha michezo mitano tu kwa kila timu kuhitimisha msimu huu, huku vita kubwa ikitanda maeneo yote, hususani ile ya...
CEO Mbeya City atuliza presha OFISA Mtendaji Mkuu wa Mbeya City (CEO), Ally Nnunduma amesema licha ya kuondoka kwa aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo, Salum Mayanga aliyejiunga na Mashujaa FC, ila mashabiki wa kikosi hicho...
Matata atimka Transit Camp BAADA ya kuiongoza Transit Camp katika michezo saba tu ya Ligi ya Championship, aliyekuwa kocha wa kikosi hicho, Stephen Matata ameondoka katika timu hiyo, huku akiweka wazi sababu kubwa ni...
PRIME Misri Pamoto… Walioshika mechi watajwa UKIANGALIA kikosi cha Simba kisha ukichungulia pale Al Masry, kuna kitu utagundua kuhusu mastaa wawili, Jean Charles Ahoua na Fakhreddine Ben Youssef ambao Jumatano watakuwa na shughuli nzito ya...
Singida BS, Kagera Sugar kupindua meza? MICHUANO ya Kombe la Shirikisho (FA), imefikia patamu, huku tukishuhudia timu nane zikitinga hatua ya robo fainali kwa ajili ya kusaka tiketi ya kucheza Kombe la Shirikisho Afrika msimu ujao.
Kocha Kapilima aachiwa msala KenGold KIKOSI cha KenGold kitaendelea kufundishwa na Omary Kapilima kwa michezo iliyobaki, huku Mserbia Vladislav Heric akiwa msaidizi, baada ya kocha huyo aliyetambulishwa Januari 18, mwaka huu...
Timu hizi ukilenga tu imo WAKATI ikibakia michezo mitano kwa ajili ya kumalizia msimu huu wa 2024-2025, timu ya African Sports imekuwa kinara wa kuruhusu mabao zaidi hadi sasa (50), ikifuatiwa na maafande wa Green...
Mwalwisi akomalia Top Four Mbeya Kwanza KOCHA wa Mbeya Kwanza, Maka Mwalwisi amesema kikosi hicho bado kina nafasi ya kumaliza nafasi nne za juu 'Top Four' kwa michezo iliyobakia, huku akiwataka wachezaji wa timu hiyo kuendelea...