Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1175 results for Charles Abel :

  1. AKILI ZA KIJIWENI: Prisons, Kagera zinahitaji maombi

    TUWAWEKE kwenye maombi jamaa zetu wa Kagera Sugar na Tanzania Prisons maana kama bundi wa kushuka daraja anawanyemelea kwa nguvu msimu huu.

  2. AKILI ZA KIJIWENI: Moalin silaha ya siri Yanga

    YANGA ni wajanja sana na kwa kijiweni kuna kauli yetu unatakiwa uwe umesoma Cuba ili uweze kuwashtukia walivyo na hesabu ndefu na mipango ya kiandamizi.

  3. AKILI ZA KIJIWENI: Huyu Arajiga anajua, asiyumbishwe tu!

    ILE mechi ya Simba na Azam, Ahmed Arajiga amefukia sana mapungufu ya marefa wenzake ambayo yamejitokeza mfululizo msimu huu.

  4. PRIME Makipa Bara wapewa msala

    KAMA unafikiria mambo ni mazuri kwa makipa, basi elewa kwamba kuna mambo yanayoendelea viwanjani ambayo yamewagusa katika timu, huku mechi za Ligi Kuu Bara zikibakia takriban tisa ili kumalizika...

  5. Fountain Gate yamaliza ukame ikiichapa Tanzania Prisons

    Baada ya kucheza mechi nane mfululizo za Ligi Kuu bila kupata ushindi, Fountain Gate leo Februari 26, 2025 imeuona mwezi baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons katika...

  6. Huyu ndiye Benni McCarthy kocha mpya Kenya 'Harambee Stars'

    Kabla wiki hii haijamalizika, Shirikisho la Mpira wa Miguu Kenya (FKF) litamtambulisha nyota wa zamani wa Porto, West Ham United na timu ya taifa ya Afrika Kusini 'Bafana Bafana', Benni McCarthy...

  7. Medo aibukia Singida Black Stars

    Siku chache baada ya kuachana na Kagera Sugar, kocha Melis Medo ameibukia Singida Blacks Stars akiajiriwa katika nafasi ya kocha msaidizi.

    Medo Pict
  8. Rais Karia ana kazi kubwa CAF

    Zimebaki siku 17 kabla ya kufanyika kwa Uchaguzi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (Caf) huko nchini Morocco.

    New Content Item (2)
  9. PRIME Mashujaa v Yanga ni mechi ya mtego

    USHINDI katika dakika 90 Jumapili hii kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma baina ya Mashujaa na Yanga una maana kubwa kwa timu hizo kulingana na msimamo wa Ligi Kuu ulivyo kwa sasa.

  10. PRIME Mchongo wa Simba kwa waarabu upo hivi

    SIMBA nd’o zetu. Huu ni msemo uliozoeleka kwa mashabiki wa klabu hiyo linapokuja suala la mechi za kimataifa.

    Simba Pict
Previous

Page 11 of 118

Next