Tabora, Kagera dak.90 za kumaliza msimu? DAKIKA 90 za Tabora na Kagera Ijumaa hii katika robo fainali ya FA zina maana kubwa. Ni mechi itakayopigwa ndani ya Al Hassan Mwinyi majira ya saa 10 ambayo kwa yeyote atakayefungwa ni kama msimu...
Tambwe: Sowah atawaacha mbali! STRAIKA wa magoli aliyewahi kuwika na Simba, Yanga na sasa Meneja wa Singida Black Stars,Amissi Tambwe anaona uwezekanako wa Jonathan Sowah kufanya sapraizi kwenye ufungaji bora msimu huu.
Kocha African Sports ala kiapo LICHA ya African Sports ‘Wanakimanumanu’ kuandamwa na ukata, kocha wa timu hiyo, Kessy Abdallah amesema siyo sababu ya yeye kushindwa kukibakisha kikosi hicho katika Ligi ya Championship msimu...
PRIME Makocha wafichua kinachombeba Fei Toto kutua Simba UNAKUMBUKA namna ambavyo Clatous Chama wakati anaichezea Simba alivyokuwa akihusishwa na Yanga kila kinapofika kipindi cha usajili kabla ya msimu huu dili hilo kuwa kweli? Basi ishu hiyo imehamia...
Mayanga aanza na mabao Mashujaa SIKU chache baada ya kuungana na Mashujaa FC, Kocha mkuu wa timu hiyo, Salum Mayanga amesema hawapi majukumu washambuliaji pekee kufunga katika kikosi hicho, bali amewapa uhuru wachezaji wote...
MWANENGO: Kiungo Tabora United mwenye ndoto ya udaktari akiwataja Max, Fei Toto UKIWA ndiyo msimu wake wa kwanza Ligi Kuu Bara, kiungo Emmanuel Mwanengo wa Tabora United tayari ameshatwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa mechi, dhidi ya Tanzania Prisons akifunga bao la kusawazisha...
Tanzania Prisons hadi huruma Ligi Kuu LIGI Kuu Bara ikiwa imesimama kwa muda kupisha kalenda ya FIFA, huku Yanga ikuiwa kileleni mwa msimamo ikiwa na pointi 58 na mabao 58 ya kufungwa, ikifuatiwa na Simba, hali ni mbaya kwa Tanzania...
Dakika 90 ngumu kwa Arajiga, waarabu mtegoni UNAMKUMBUKA aliyezamisha jahazi la Simba ikiambulia pointi moja dhidi ya Coastal Union kwenye Uwanja wa KMC, si mwingine namzungumzia Abdallah Hassan amemalizana na uongozi wa timu hiyo baada ya...
PRIME Sababu Yanga kuitwa kambini fasta WACHEZAJI wa Yanga wamerejea mazoezini baada ya kuwa na mapumziko ya takribani wiki moja tangu watoke kuichapa Coastal Union mabao 3-1 katika mchezo wa hatua ya 32 bora michuano ya Kombe la...
SAJENTI BACCA: ‘Ukakamavu’ askari hadi beki Stars, Yanga ijipange KUTOKA kuwa Koplo hadi Sajenti. Huyu ndiye Ibrahim Hamad 'Bacca'. Beki mkakamavu wa Yanga, ambaye alimfanya mshambuliaji hatari wa Borussia Dortmund, Serhou Guirassy kushindwa kupiga hata shuti...