Search

155 results for Yohana Challe :

  1. PRIME Namungo yajiandaa kutimkia Zambia

    UONGOZI wa Namungo umedhamiria kurudi tena kimataifa msimu ujao kwa kuhakikisha wanamaliza ligi katika nafasi ya juu kama ilivyo kwa msimu wa mwaka 2019/20, ilipomaliza nafasi ya nne.

  2. PRIME Vita msimu ujao Championship ngumu

    MAMBO yatakuwaje pale msimu wa mwaka 2023/24 wa Ligi ya Championship utakapoanza huku timu mbili pekee ndio zitakazokuwa na nafasi ya kupanda Ligi Kuu. Utamu wa Championship umenoga zaidi baada...

  3. PRIME Mashujaa wairejesha Kigoma katika ramani ya soka

    kukutana na Mbeya City hatua ya mwisho ambapo nyumbani ikashinda 3-1 na ugenini ikashinda 1-0. Ushindi huo ukampa nguvu Mkuu wao Mkoa ambaye alitangaza dau kwa kununua kila bao kwa Sh600,000 na...

  4. TPLB haitakuwa huru kama haina uhuru

    Mbeya. 2007 wadau wa soka walikutana Bagamoyo katika mipango ya kuhakikisha soka letu linaendeshwa katika mfumo wa kisasa ili liweze kupiga hatua. Azimio la Bagamoyo lililenga kufanya soka letu...

  5. PRIME Washambuliaji walivyokaukiwa mabao

    Fiston Mayele (Yanga) na Saidi Ntibazonkiza (Simba) wamemaliza Ligi Kuu Tanzania Bara wakiwa vinara wa mabao wote wakicheka na nyavu mara 17 na kugawana tuzo ya ufungaji bora.

  6. PRIME Mashujaa kila bao Laki sita

    'Chama' alisema wamesafiri na wachezaji wote na wamefika salama wakiwa katika morali kubwa. ****** Kitayosce yanasa Warundi wawili YOHANA CHALLE, MBEYA KATIKA mikakati ya...

  7. PRIME Kitayosce yanasa Warundi wawili

    KATIKA mikakati ya kuimarisha kikosi kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu, mabosi wa Kitayosce wapo hatua za mwisho kukamilisha dili la wachezaji wawili wa timu ya taifa ya Burundi. Timu hiyo...

  8. Nonga: Majeraha yamenistaafisha

    MBEYA. KILA jambo lina mwanzo wake na mwisho wake katika maisha ya binadamu yeyote katika ulimwengu huu wa mapambano kila kukicha katika kutafuta liziki. Nahodha wa Mbeya City, Paul Nonga...

  9. Majanga! Kilichoziangusha Polisi, Ruvu Shooting

    LIGI Kuu inamalizika kwa Yanga kutetea ubingwa huku Polisi Tanzania na Ruvu Shooting zikimaliza msimu kwa kuonekana vibonde kwa wengine katika kuvuna alama. Wakati Ruvu Shooting ikiwa ndio timu...

  10. Yanga yaharibu hali ya hewa, Mbeya City hali tete

    Sare ya mabao 3-3 iliyopata Mbeya City leo Jumanne Juni 6 dhidi ya Yanga imezidi kuwaweka katika hali mbaya kwenye msimamo wa Ligi Kuu. Sare hiyo imeifanya Mbeya City kufikisha alama 31 huku...

Previous

Page 2 of 16

Next