Search

52 results for Juma Mtanda :

  1. Ruvu Shooting yatinga robo fainali

    Ruvu Shooting U-20 imemaliza mchezo ya makundi katika michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 20 Wilaya Morogoro 2022 kwa kuifunga Save Talent Academy bao 8-0 kwenye uwanja wa Sabasaba mkoani...

  2. Wanamichezo wamlilia aliyefariki kwa ajali ya gari na treni Morogoro

    Wanamichezo kutoka makundi ya waendesha baiskeli za mbio ndefu na wanariadha ya ridhaa (Marathoni) wamepatwa na mshtuko baada ya kutokea kwa taarifa ya kifo cha mwanamichezo, Michael Mgombela...

  3. Wakamatwa na Polisi wakituhumiwa kuvuta bangi uwanjani

    Mashabiki watano waliokuwa wakifuatilia mchezo kati ya Moro Kids dhidi ya Kilakala Academy katika michuano ya soka kwa vijana chini ya umri wa miaka 20 Wilaya ya Morogoro wamekamatwa na polisi...

  4. Ruvu Shooting yavunja rekodi yake iliyoiweka michuano ya vijana U20

    Ruvu Shooting U20 imeendeleza ubabe michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 20 wilaya ya Morogoro 2022 lakini na kuvunja rekodi yake baada ya kuichapa Kilakala bao 6-0 katika mkali na kusisimua...

  5. Michuano ya U20 Morogoro yaiponza Mbuyuni Academy

    Michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 20 wilaya ya Morogoro 2022, imeiponza timu ya Mbuyuni Academy baada ya kushindwa kufika kituoni katika michezo ya michuano hiyo dhidi ya Motasoa Academy...

  6. Mwamuzi ashikwa na homa uwanjani, ashindwa kuendelea na mchezo

    Mwamuzi chipukizi wa kati anayechezesha michuano ya Ligi ya vijana chini ya umri wa miaka 20 wilaya ya Morogoro 2022, Sikudhani Humbi ameshindwa kuendelea na mchezo kati ya Mbuyuni FC dhidi ya...

  7. Moro, Mkundi Youth mambo magumu U20

    MOROGORO. Wakati Ligi ya vijana chini ya umri wa miaka 20 wilaya ya Morogoro 2022 ikiendelea na kupambamoto, mambo sio mazuri kwa timu ya Moro Youth na Mkundi Youth ambazo hazijaonja ladha ya...

  8. Michuano ya U20 Morogoro 2022 yaanza kutoa faida kwa Moro Youth

    Michuano ya ligi ya vijana chini ya umri wa miaka 20 wilaya ya Morogoro mwaka 2022 unaambiwa tayari yameanza kuzaa matunda na faida baada ya wachezaji watatu wa Taasisi ya Kukuza na Kulea Vipaji...

  9. Sababu za Azam FC, Mtibwa Sugar kujiondoa michuano ya vijana U20 wilaya ya Morogoro 2022

    Morogoro. Kujiondoa kwa timu za soka za vijana za Azam FC na Mtibwa Sugar kwa kumeshindwa kushiriki michuano ya vijana ya umri wa miaka 20 (U20) wilaya ya Morogoro 2022 kumepelekea kupunguza...

  10. Ruvu Shooting yaanza kibabe michuano ya U20 wilaya ya Morogoro 2022

    Ruvu Shooting imeanza michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 20 wilaya ya Morogoro 2022 kwa nguvu kubwa baada ya kuipigisha kwata Chamwino Youth kisha kuwachapa bao 5-0 huku Kocha mkuu wa...

Previous

Page 2 of 6

Next