Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

698 results for Damian Masyenene :

  1. LEMA: Beki wa Nabi anayesotea namba Pamba

    KIKOSI cha Pamba Jiji ya Mwanza kimeshacheza mechi 24 za Ligi Kuu Bara, lakini katika zote beki wake wa kulia, Yunus Lema hajaonja hata dakika moja akiishia benchini ama jukwaani kutokana na...

  2. Minziro: Ni ‘do or die’ dhidi ya Tabora United

    Baada ya kuambulia sare ya 1-1 nyumbani dhidi ya Namungo FC katika mchezo uliopita kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, Kocha Mkuu wa Pamba Jiji, Fredy Felix ‘Minziro’ amesema kesho ni...

    Pamba Pict
  3. Mang’ombe akataa unyonge Tabora United

    Kocha Mkuu wa Tabora United, Genesis Mang’ombe amesema hatakubali kuwa mnyonge na kuruhusu kikosi chake kucheza mchezo wa nne bila kupata ushindi huku akitaja mambo yaliyowaangusha kwenye mechi...

    Tabora Pict
  4. Pamba mambo bado, yalazimishwa sare na Namungo nyumbani

    Safari ya Pamba Jiji kutoka nafasi za chini na kusogea juu kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara bado haijawa rahisi, kwani leo imeshindwa kufurukuta nyumbani katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza...

  5. Mgunda ala kiapo Namungo, ajipa matumaini mechi saba

    KOCHA Mkuu wa Namungo FC, Juma Mgunda amesema hana wasiwasi na kikosi chake kwenye vita ya kubaki Ligi Kuu Bara kwani amefanya maandalizi ya kutosha yatakayowawezesha kuvuna alama za kutosha na...

    MGUNDA
  6. Minziro atoa kauli nzito dhidi ya Namungo

    KOCHA Mkuu wa Pamba Jiji, Fredy Felix 'Minziro' amesema ushindi wa bao 1-0 ugenini dhidi ya Mashujaa FC kwenye Kombe la Shirikisho (FA) na kutinga robo fainali umekipa kikosi chake motisha na...

    MINZIRO Pict
  7. ANTWI: Mghana anayeamini Simba, Yanga zitambeba Black Stars

    LICHA ya kuuanza msimu huu vibaya, lakini sasa unaweza kusema amejipata baada ya kupata uhakika wa namba ili kuzima dimba la kati katika kikosi cha Pamba Jiji ya Mwanza kinachopambana kujinasua...

  8. Kilichoiponza Kirumba chatajwa, Mtanda atoa siku saba

    Baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuufungia Uwanja wa CCM Kirumba uliopo jijini Mwanza kutumika kwa mechi mbalimbali, imebaibishwa kuwa eneo la kuchezea (pitch), kukosekana kwa maji...

    MWANZA Pict
  9. Pamba Jiji yapata ajali, wachezaji wapo salama

    MSAFARA wa Pamba Jiji uliokuwa unatoka Dodoma kwenda Morogoro kwa ajili ya mchezo wa hatua ya 32 Bora wa Kombe la Shirikisho la CRDB (FA) dhidi ya Kiluvya United, umepata ajali alfajiri ya jana...

  10. Vita ya 'Top Four' yaitesa Tabora United, yaanika ramani ya vita

    Benchi la ufundi la Tabora United, limekiri kuwa vita yake na Singida Black Stars kuwania nafasi moja mojawapo kati ya nne za juu katika Ligi Kuu Bara inawatia presha ambayo inawalazimisha...

Previous

Page 2 of 70

Next