Search

851 results for Charles Abel :

  1. AKILI ZA KIJIWENI: Sijaona cha kuizuia Yanga ubingwa Ligi Kuu

    Kimahesabu ya kimpira, mbio za ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara zilikamilika siku ile ambayo Simba ilipoteza kwa mabao 2-1 mbele ya Yanga katika mechi ya mzunguko wa pili wa ligi hiyo.

  2. AKILI ZA KIJIWENI: Pamba mmerudi, ligi si kama mlivyoiacha

    Wanetu wa Pamba FC aka Wana Kawekamo au ukipenda unaweza kuwaita TP Lindanda baada ya msoto wa muda mrefu hatimaye wamefanikiwa kupanda Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kushika nafasi ya pili...

  3. AKILI ZA KIJIWENI: Simba isijichanganye kwa Lomalisa

    Wahenga walisema lisemwalo lipo na kama halipo li njiani laja

  4. Mavunde: Tulitumia saa nane kumvuta GSM Yanga

    UKIACHA mapenzi yake ndani ya klabu ya Yanga kama kuna jambo ambalo lilimtambulisha kwa ukubwa Antony Mavunde ndani ya klabu hiyo basi ni ile siku ambayo aliutambulisjha umma wa wanachama na...

    New Content Item (1)
  5. Siri Yanga kuwaita mezani Mwamnyeto, Kibwana

    Uhaba wa mabeki wazawa wenye uwezo wa juu, uzoefu pamoja na kutokuwa tayari kuwanufaisha wapinzani iwapo wawili hao wataondoka, ni sababu tatu za msingi zilizofanya uongozi wa Yanga kuanza...

  6. Mabao yatawabakisha Ligi Kuu

    MSIMU wa Ligi Kuu 2023/2024 unakaribia ukingoni na timu pamoja na wachezaji wanakaribia kuvuna kile walichokipanda ambacho ni ama kumaliza vizuri au kumaliza vibaya pindi mizunguko 30 ya ligi...

  7. Mbolea chanzo cha mgogoro USM Alger, RS Berkane

    UNAWEZA kuona kwa jicho la kisiasa mgogoro uliopelekea mechi ya pili ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baina ya RS Berkane na USM Alger kutochezwa jana kama ilivyokuwa kwa mechi ya...

  8. Mastraika Taifa Stars wanahitaji maombi

    Wakati zikibaki siku 44 kabla ya mchezo wa kuwania kufuzu fainali za Kombe la Dunia dhidi ya Zambia kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, mwenendo wa wachezaji wa safu ya ushambuliaji ambao wamekuwa...

  9. Lala salama Championship ya jasho na damu

    Ni fursa nzuri kwa Pamba kumaliza unyonge wa miaka 22 wa kukaa bila kushiriki Ligi Kuu itakapokabiliana na Mbuni FC kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha kuanzia saa 10 jioni...

  10. AKILI ZA KIJIWENI: Azam inatumia vyema makosa ya Simba SC

    FEBRUARI mwaka huu, Simba ilikuwa juu ya Azam FC kwenye msimamo wa Ligi Kuu kwa tofauti ya pointi nne ambapo yenyewe ilikuwa na pointi 36 huku Azam ikiwa na pointi 32.

Previous

Page 2 of 86

Next