Search

166 results for Aisha Mbuma :

  1. GSM akubali kujenga uwanja Kaunda

    Wakati klabu ya Yanga ikiadhimisha miaka 89 tangu kuanzishwa kwake, mdhamini na mfadhili ya klabu hiyo, Ghalib Said Mohamed ameridhia kushiriki kwenye kufanikisha ujenzi wa Uwanja wa Kaunda. Leo...

  2. Dube aendelea kuinyanyasa kwa Simba

    Hacheki nao. Ndio, mshambuliaji wa Azam FC, Prince Dube ameendeleza ubabe wake kwa Simba baada ya kuitungua tena katika sare ya bao 1-1, katika Dabi ya Mzizima, kwenye Uwanja wa CCM Kirumba...

  3. Simba, Chama wamalizana kikubwa

    Klabu ya Simba umetangaza msamaha kwa kiungo Mzambia, Clatous Chama ambaye aliadhibiwa Desemba 21, 2023 kutokana na utovu wa nidhamu. Taarifa hiyo ilitolewa leo na Afisa Mtendaji Mkuu, Imani...

  4. Moloko amfuata Baleke Libya

    Aliyekuwa winga wa Yanga, Jesus Moloko ambaye alikuwa akihusishwa na Geita Gold dirisha dogo la usajili lililopita, amejiunga Al Sadaqa SC Benghazi inayoshiriki Ligi Kuu ya Libya. Moloko...

  5. Simba, Yanga mwendo wa viporo

    Kambi za Simba na Yanga zimezidi kunoga baada ya mastaa wapya waliosajiliwa kwenye dirisha dogo kuungana na wale ambao hawakuitwa katika timu za taifa zilizoenda kwenye fainali za Kombe la...

  6. Inonga ajiwekea rekodi Afcon

    Beki kisiki wa Simba, Henock Inonga Baka amejitengeneza rekodi yake kwenye Fainali za Afcon, kwa kuwa mchezaji wa kwanza anayecheza Ligi Kuu Bara kufuzu robo fainali ya michuano hiyo. Inonga...

  7. Mosimane arudi Saudia, asaini Abha FC

    Kocha wa zamani wa Mamelodi Sundowns, Pitso Mosimane raia wa Afrika Kusini amesaini mkataba wa miezi minne na klabu ya Abha inayoshiriki Ligi Kuu ya Saudi Arabia. Mosimane ambaye kabla ya...

  8. Sowah aikacha Yanga, atimkia Libya

    Mshambuliaji wa Medeama ya Ghana, Jonathan Sowah, ambaye alikuwa akihusishwa na Yanga dirisha dogo la usajili lililopita, amejiunga Al Nasr SC Benghazi inayoshiriki Ligi Kuu ya Libya kwa mkataba...

  9. Msuva Yanga ndo basi tena, arudi Saudia

    Mshambuliaji wa Kimataifa kutoka Tanzania, Simon Msuva ndio basi tena Yanga. Hii ni baada ya kutambulishwa Al Najmah inayoshiriki Ligi Daraja la kwanza Saudi Arabia. Kipindi cha dirisha dogo la...

  10. Morocco yamponza kocha Stars, aaga Afcon

    KOCHA wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Adel Amrouche ni kama ameaga Fainali za Afcon baada ya Shirikisho la Soka Afrika (Caf), kumfungia mechi nane kutokana na kauli zake alizozitoa...

Previous

Page 2 of 17

Next