Search

1132 results for Olipa Assa :

  1. NOTI ZITAONGEA: Mastaa Ligi Kuu watakaokuwa ghali sokoni

    SINEMA inayoendelea ya mshambuliaji wa Simba, Kibu Denis kudaiwa kugoma kuongeza mkataba mpya ndani ya kikosi hicho inatoa picha jinsi shughuli inavyoweza kuwa pevu kwa viongozi wa timu...

  2. Kipa Msudani awadatisha mabosi Azam FC

    Azam FC ilimsajili kipa huyo kwa mkataba wa miezi sita kutoka klabu ya El Merreikh, mkataba ambao unamalizika mwisho wa msimu huu.

  3. Ishu ya Kibwana na Azam ipo hivi

    Beki wa Yanga, Shomari Kibwana ni kati ya wachezaji ndani ya kikosi hicho ambao mikataba yao inaishia mwisho wa msimu huu (2023/244), lakini bado hajaanza mazungumzo ampya na viongozi wake.

  4. Lusajo: Profesa shabiki wa Simba alinikazia nisijiunge Yanga

    Mshambuliaji Reliants Lusajo anajipambanua kuandaa maisha baada ya kustaafu soka, jambo linalomfanya aipe elimu kipaumbele ili kumwezesha kufanya shughuli nyingine kwa urahisi.

  5. Hii hapa mikakati mipya ya Mgunda Simba

    SIKU chache baada ya kurudishwa Simba, kocha Juma Mgunda ametaja mambo matatu yatakayombeba kwenye mechi nane zilizobaki akianza na sare ya mabao 2-2 dhidi ya Namungo ugenini.

  6. Sakata la Kakolanya lachukua sura mpya Singida Fountain Gate

    SAKATA la kipa namba moja wa Singida Fountain Gate, Beno Kakolanya limechukua sura mpya ikiwa ni siku chache tangu nyota huyo wa zamani wa Tanzania Prisons, Yanga na Simba kufichua kuwa baada ya...

  7. Vituko vya wachezaji uwanjani

    Wakati mwingine wachezaji wanafanya vituko vya ajabu, hadi wao wenyewe wanajishangaa, pindi wanapopata utulivu wa kujitathimini baada ya majukumu yao, kuona walifanya vitu vya ajabu.

  8. Mastaa hawa Simba ni mvua na jua

    KUNA mastaa wapo Simba wameonja raha na karaha, wakati timu hiyo inachukua mataji manne mfululizo, walikuwepo na ilipokosa mataji kwa mara mbili mfululizo (2021/22 na 2022/23) bado...

  9. Balama: Kama si Yanga ningeacha soka

    CHANGAMOTO katika maisha ni vitu vya kawaida, lakini kuna nyingine huwa zinakatisha tamaa na kama mtu ana roho ndogo ni ngumu kutoboa. Hutokea bahati tu, mtu akizungukwa na watu wenye kujali na...

  10. PRIME Mgunda azungumzia ishu ya kumrithi Benchikha

    Simba inatarajiwa kutangaza kuachana rasmi na kocha Mbelgiji mwenye asili ya Algeria, Abdelhak Benchikha, ambaye taarifa zisizo rasmi zinadai ameomba kuondoka ili kwenda kumuuguza mkewe.

Page 1 of 114

Next