Search

256 results for Nevumba Abubakar :

  1. Paredi la Yanga kuanzia kwa Mkapa

    KLABU ya Yanga leo imetoa ratiba ya sherehe zake za ubingwa wa Ligi Kuu Bara, Mei 25, mwaka huu zikiongozwa na paredi kutoka Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam hadi makau ya klabu hiyo, Jangwani.

  2. Wazawa waachiwa msala wa kiatu WPL

    NI wazi msimu huu kwenye vita ya ufungaji bora wa Ligi Kuu ya Wanawake (WPL) umekuwa bora na ushindani wa aina yake hasa kwa mastraika wazawa.

  3. Mzungu wa Yanga atamani kucheza beki

    KIUNGO mshambuliaji wa Yanga Princess, Kaeda Wilson amesema anatamani kucheza hata nafasi ya beki ilimradi kuisaidia timu hiyo kwenye mechi tatu zilizosalia.

  4. Maokoto ya gofu hadi mazoezini

    KWENYE gofu kuna maokoto ya hapa na pale na yamekuwa yakiwasaidia vijana kupunguza makali ya maisha, pia yanaongeza chachu ya nidhamu ya kazi na kujituma ili kuhakikisha viwango vyao vinakua.

  5. Gamondi, Nabi kuna ubabe unafikirisha

    HAKUNA ubishi juu ya kiwango bora kilichoonyeshwa na Yanga msimu huu na kufanikiwa kutetea ubingwa wa Ligi Kuu ambao umechagizwa na wachezaji mbalimbali katika kikosi hicho akiwemo Kocha Mkuu...

  6. Geita hali mbaya, Matampi vitani na Diarra

    GEITA Gold imeendelea kuwa na hali mbaya katika Ligi Kuu Bara msimu huu baada ya jioni ya leo kutoka suluhu dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa ligi hiyo uliochezwa Uwanja wa Nyankumbu mkoani...

  7. Simba Queens kama Yanga tu Chamazi

    KAMA ilivyo kwa Mabingwa Ligi Kuu Bara, Yanga wamekuwa na bahati kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi ndivyo ilivyo kwa Simba Queens na mechi nane ilizocheza hapo imeshinda zote.

  8. Nyoshi afunguka utofauti wake na Patcho, suala la mkorogo...

    Jina la Nyoshi lilikuwa kubwa zaidi alipokuwa akiitumikia Bendi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’ ‘Wazee wa Pamba’ jukwaani kabla ya kumiliki bendi yake mwenyewe inayoitwa Bogoss Musica ‘Nyumba...

  9. Bacca: Mama yangu anamkubali Job

    BEKI kisiki wa Yanga, Ibrahim Abdullah 'Bacca' amesema mama yake ambaye ni shabiki mkubwa wa Simba, anavutiwa na aina ya uchezaji wa beki wa kati na nahodha msaidizi wa Yanga, Dickson Job.

  10. Chukwu amtaja Aziz KI, afunguka dili la Yanga

    MORICE Chukwu ni majina ambayo yalitikisa wakati wa dirisha dogo la usajili akihusishwa na timu mbalimbali nchini ikiwemo Yanga lakini baadae akaibukia Singida Big Stars na sasa Ihefu.

Page 1 of 26

Next