Search

546 results for Damian Masyenene :

  1. Dabo aitumia salamu Yanga fainali FA

    BAADA ya kutinga fainali ya Kombe la Shirikisho, Kocha wa Azam, Youssouph Dabo amesema kazi bado haijaisha kwani msimu huu wanalitaka kombe la michuano hiyo.

  2. Mkenya ashangazwa na kipigo, aipania ligi

    Kocha Mkuu wa Coastal Union, David Ouma amesema ameshangazwa na matokeo waliyopata dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Kombe la Shirikisho (FA), akieleza kuwa ni muda mrefu tangu kuruhusu idadi...

  3. Azam yatangulia kibabe fainali FA, yazisubiri Yanga, Ihefu

    AZAM FC imetangulia kwenda fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) baada ya kuichapa Coastal Union mabao 3-0 kwenye mchezo wa nusu fainali uliopigwa leo Jumamosi kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini...

    New Content Item (1)
  4. Coastal, Azam nusu fainali ya kibabe FA

    KESHO mchezo wa nusu fainali ya kwanza Kombe la Shirikisho utachezwa katika Uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza kati ya Coastal Union dhidi ya Azam FC, huku vita kubwa ikiwa ni kusaka nafasi ya...

  5. Bosi: Tatizo Geita Gold ni wachezaji

    MKURUGENZI wa Halmashauri ya Mji wa Geita, Yefred Myenzi amesema timu hiyo kutofanya vizuri kwenye Ligi Kuu na kuwaweka kwenye presha ni kutokana na usajili mbovu wa wachezaji.

  6. Stand United, Copco tiketi iko Kambarage

    Mwanza. BAADA ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Stand United, Copco imesema inaenda kumaliza dakika 90 za marudiano ikihitaji sare au ushindi ili kujihakikishia kubaki salama kwenye Championship...

  7. Pamba yavunja kambi, bodi yaachiwa msala

    KIKOSI cha Pamba Jiji kilivunja kambi yake juzi (jumatano) wachezaji na benchi la ufundi wakipewa mapumziko na kuruhusiwa kuondoka, huku hatima ya kinachofuata ikiachiwa bodi ya klabu hiyo.

  8. Copco yashinda, yasaka  sare kubaki Championship

    Mwanza. COPCO FC imeanza kwa ushindi nyumbani ili kubaki Ligi ya Championship kwa kuifunga Stand United ‘Chama la Wana’ mabao 2-0 huku ikihitaji sare katika mchezo wa marudiano ili kubaki kwenye...

  9. Kocha Singida na matumaini kusalia Ligi Kuu, amfungia kazi Kyombo

    BAADA ya kuiongoza kwa mara ya kwanza na kuipa ushindi Singida Fountain Gate, kocha wa timu hiyo, Ngawina Ngawina amesema kwa sasa hesabu ni kuibakiza Ligi Kuu, huku akichora ramani ya mechi tano...

  10. Singida FG yajipata, Kyombo atakata Kirumba

    Ushindi huo ni wa kwanza tangu Machi 16, mwaka huu ilipoifunga Namungo bao 1-0, ambapo imecheza dhidi ya Azam, Mtibwa Sugar, Yanga, Namungo, Mashujaa na Dodoma Jiji katika dimba hilo

Page 1 of 55

Next