Video SIMBA WASUSA, WAREKODI VIDEO YA USHAHIDI, WAITAKA TPLB IWAADHIBU YANGA Jumamosi, Machi 08, 2025
PRIME VIDEO: Mnguto afichua ishu ya Yanga ilivyokuwa pasua kichwa HUWEZI kutaka kuyazungumzia maendeleo ya Soka la Tanzania kama hutagusia mamlaka ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB) ambayo kimsingi ndio husimamia ustawi wa karibu ligi zote Tanzania.
PRIME Robo fainali CAF... Mechi ipo hapa KIKOSI cha Simba kinatarajiwa kuondoka nchini Ijumaa ya Machi 28 mwaka huu kwenda Misri kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Masry...
Offen Chikola kurudi kivingine KIUNGO mshambuliaji wa Tabora United, Offen Chikola amesema mapumziko ya Ligi Kuu Bara kupisha mechi za Kalenda ya FIFA yamemsaidia kuondoa uchovu mwilini uliotokana na kucheza mechi mfululizo.