PRIME Simba, Musonda kuna kitu MAMBO ni moto na muda ni mchache. Simba itakuwa Morocco kukipiga na RS Berkane katika mechi inayotarajiwa kuwa ngumu na yenye hisia tofauti ya Kombe la Shirikisho Afrika, kwani wiki ijayo itakuwa...
Singida Black Stars yaanza kuzidai pesa za Gomez MABOSI wa Singida Black Stars wameiandikia barua Wydad Casablanca ya Morocco kudai malipo ya mauzo ya mshambuliaji, Seleman Mwalimu ‘Gomez’ waliyemuuza kupitia dirisha dogo la usajili akitokea...
Simba ubingwa Shirikisho Afrika unawezekana Jumamosi wiki hii, Mei 17, wawakilishi wa Tanzania katika Kombe la Shirikisho Afrika, Simba wanatupa karata katika mechi ya kwanza ya hatua ya fainali ya mashindano hayo msimu huu.