PRIME Simba kupita njia hii CAF SIMBA SC imefuzu hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kibabe baada ya kuifunga CS Constantine ya Algeria mabao 2-0, na kuongoza kundi A kwa kufikisha pointi 13 ikiwaacha Waarabu...
Taoussi apata akili mpya Azam FC KICHAPO cha bao 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye mchezo wa kirafiki kimemuibua kocha mkuu wa Azam FC, Rachid Taoussi aliyesema kilikuwa kipimo sahihi na kimempa mwanga wa nini afanye kabla ya...
PRIME Ramovic ashtukia kitu Yanga, ajibebesha zigo la lawama MASHABIKI wa Yanga usiwasogelee wala usiongee nao kwani bado hawaelewi kipi kilichoizuia timu hiyo kutinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kulazimishwa suluhu na MC Alger ya...