PRIME Ni aibu! Madudu ya waamuzi yachefua wengi Ligi Kuu WAKATI Kamati ya Waamuzi ya Shirikisho la Soka nchini, ikisema imeanza uchunguzi kwa waamuzi waliochezesha mechi ya Simba na Mashujaa, iliyogeuka gumzo, wadau mbalimbali wa soka wakiwamo...
PRIME PUMZI YA MOTO: Simba na Mashujaa hazijawahi kutuangusha HEBU tumuweke pembeni kidogo Kefa Kayombo na msaidizi wake namba moja, Neema Wilson Mwambashi walioamua mechi ya Simba na Mashujaa, Mei 2, 2025
PRIME SIO ZENGWE: TFF, Bodi ya Ligi zijisafishe na tuhuma za marefa KWA bahati mbaya sana mechi nyingine ya Ligi Kuu Bara imemalizika kwa kurejesha mijadala mingine kuhusu kiwango cha marefa na tuhuma za upendeleo.