Video Kuna timu itakandwa goli 10, Simba wanatamani arudi NABI maana GAMONDI hafai Jumanne, Agosti 29, 2023
PRIME Manula afunguka hatma yake Simba KIPA wa Simba, Aishi Manula kwa sasa hana namba ya kudumu katika kikosi cha kwanza cha timu hiyo licha ya kuipa mafanikio kibao ikiwamo ubingwa wa Ligi Kuu Bara zaidi ya mara nne tangu alipotua...
Hiki ndicho Gamondi alichoona kwa Nkane KATIKA msimu huu wa ligi kumekuwa na mbinu mpya zinazotumika katika safu ya ulinzi wa klabu ya Yanga, ambapo kocha Miguel Gamondi amemchezesha Denis Nkane kwenye nafasi ya beki wa kulia badala ya...
PRIME Rais wa Caf ashtakiwa Dar, kesi kunguruma leo Jumatatu KESI inayomhusisha bilionea wa Afrika Kusini na rais wa CAF, Patrice Motsepe na kampuni zake inatarajiwa kusikilizwa kesho, Jumatatu katika Divisheni ya Kibiashara ya Mahakama Kuu ya Tanzania...