Video FADLU AWAITA MASHABIKI KWA MKAPA ATAJA NYOTA WATAKAOIANGAMIZA AL MASRY Jumatano, Aprili 09, 2025
PRIME Vita ya usajili 2025/26 inaanzia hapa LIGI Kuu Bara ipo ukingoni kwa sasa ikiwa imesaliwa na mechi za raundi tatu kabla ya msimu kufikia tamati Juni 22, huku mbio za ubingwa zikisalia kwa vigogo Simba na Yanga tu, ilihali Azam FC na...
PRIME Simba yaacha msala CAF SIMBA imeendeleza kugawa dozi katika Ligi Kuu Bara baada ya jana kuifumua Pamba Jiji kwa mabao 5-1 na kukata tiketi ya kucheza Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao, huku ikiziachia msala Singida BS...
PRIME Kilichowakuta Manula, Mzamiru na Mkude ni hiki UKIANGALIA kinachoendelea kwa nyota waliokuwa tegemeo Taifa Stars na klabu zao, Aishi Manula, Mzamiru Yassin na Jonas Mkude, unaweza kujiuliza imekuwaje ghafla kiasi hiki hadi hawana tena nafasi...