PRIME Simba, Musonda kuna kitu MAMBO ni moto na muda ni mchache. Simba itakuwa Morocco kukipiga na RS Berkane katika mechi inayotarajiwa kuwa ngumu na yenye hisia tofauti ya Kombe la Shirikisho Afrika, kwani wiki ijayo itakuwa...
Kumbe Rodrygo alikataa kucheza El Clasico STAA wa Real Madrid, Rodrgyo imeripotiwa kugomea kucheza mechi ya El Clasico baada ya kutibuana na wachezaji wenzake kikosini.
Ancelotti akabidhiwa mikoba Brazil HATIMAYE, Carlo Ancelotti amethibitishwa kuwa kocha mpya wa timu ya taifa ya soka ya Brazil.