Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Vini Jr amtabiria makubwa Lamine Yamal

VINI Pict

Muktasari:

  • Winga huyo wa Madrid alikuwa wazi na mwenye msisitizo alipoulizwa kuhusu nyota huyo wa Barça kwenye Caze TV.

MADRID, HISPANIA: Vinícius Júnior alizungumza katika mahojiano nchini Brazil kuhusu Lamine Yamal, akimsifu kwa kiwango chake kikubwa cha soka licha ya kuchezea FC Barcelona, wapinzani wakubwa wa milele wa Real Madrid CF.

Winga huyo wa Madrid alikuwa wazi na mwenye msisitizo alipoulizwa kuhusu nyota huyo wa Barça kwenye Caze TV.

VIN 01

“Hispania wana Lamine Yamal, ambaye ni mmoja wa wachezaji bora duniani. Anafanya mambo ya ajabu uwanjani. Ni mchezaji ambaye anaweza kushinda Kombe la Dunia. Ni mmoja wa wale wachezaji ambao watu hulipia kwenda kuwaangalia,” amesema.

VIN 02

“Kuongelea wachezaji wa Barcelona huwa ni jambo gumu kwa sababu mashabiki huanza kuzungumza, lakini tunapaswa kuthamini wachezaji waliopo uwanjani,” ameeleza Vini Jr.