Messi, Barca ndoa yaiva

Tuesday August 03 2021
MESSI PIC

MABOSI wa Barcelona wanatarajia kutoa taarifa ya staa wa Argentina Lionel Messi kuwa amesaini mkataba wa miaka mitano katika siku chache zijazo.

Mkataba wa Messi na Barca ulimalizika mapema katika dirisha hili na ilichukua muda hadi kufikia makubaliano ya kumsainisha tena mkataba mpya kutokana na sababu za kiuchumi.'

Advertisement