Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Samatta, Bruno watikisa usajili wa Januari Ligi Kuu England

Muktasari:

Manchester United iliduwaza wengi kwa kulifunga dirisha hilo kwa usajili wa Idion Ighalo, wakati Liverpool wenyewe walikuwa wa kwanza kabisa kusajili, walipomnasa Takumi Minamino.

LONDON, ENGLAND. ALIYENASWA kanaswa, aliyetemwa katemwa. Ndiyo hivyo kwa lile lililotokea kwenye dirisha la usajili la Januari lilivyofungwa huko England juzi Ijumaa.
Manchester United iliduwaza wengi kwa kulifunga dirisha hilo kwa usajili wa Idion Ighalo, wakati Liverpool wenyewe walikuwa wa kwanza kabisa kusajili, walipomnasa Takumi Minamino.
Wachezaji kibao wamehama kutoka timu moja kwenda nyingine, zikiwepo dili mbalimbali ikiwamo za mkopo na kufanya timu kujiimarisha kwa ajili ya kumalizia msimu huu. Huu hapa ndio usajili kamili uliofanywa kwenye dirisha hili la Januari lililofungwa Ijumaa iliyopita.

ARSENAL
Wametua:
Eddie Nketiah (Leeds, amerudishwa kutoka
kwenye mkopo)
Cedric Soares
(Southampton, mkopo)
Pablo Mari (Flamengo, mkopo)

Wameondoka:
Tyreece John-Jules
(Lincoln, mkopo)
Emile Smith Rowe (Huddersfield, mkopo)
Dinos Mavropanos (Nuremberg, mkopo)
Ben Sheaf (Doncaster
Rovers, mkopo)
Deyan Iliev (Jagiellonia Bialystok, mkopo)
James Olayinka
(Northampton, mkopo)

ASTON VILLA
Wametua:
Louie Barry (Barcelona,
Pauni 1milioni)
Mbwana Samatta (Genk, Pauni 10milioni)
Danny Drinkwater (Chelsea, mkopo)
Pepe Reina (AC Milan, mkopo)
Borja Baston (Swansea, bure)

Wameondoka:
Andre Green (Charlton, mkopo)
Jonathan Kodjia
(Al-Gharafa, imefichwa)
Lovre Kalinic (Toulouse, mkopo)
Scott Hogan
(Birmingham, mkopo)
James Chester (Stoke, mkopo)
Jacob Ramsey (Doncaster,mkopo)
Rushian Hepburn-Murphy (Derby, mkopo)

BOURNEMOUTH
Wametua:
Kyle Taylor (amerudishwa kutoka kwenye mkopo)

Wameondoka:
Mikael Ndjoli
(Motherwell, mkopo)
Asmir Begovic
(AC Milan, mkopo)
Brad Smith (Cardiff, mkopo)
Matt Butcher (St Johnstone, mkopo)

BRIGHTON
Wametua:
Anders Dreyer (Midtjylland, imefichwa)
Aaron Mooy (Huddersfield, Pauni 5 milioni)
Jurgen Locadia (Hoffenheim, amerudishwa kutoka kwenye mkopo)
Alexis Mac Allister (Boca Juniors, amerudishwa kutoka
kwenye mkopo)
Tariq Lamptey
(Chelsea, Pauni 6 milioni)

Wameondoka:
Max Sanders
(AFC Wimbledon, mkopo)
James Tilley (Grimsby Town, mkopo)
Tudor Baluta
(ADO Den Haag, mkopo)
Gaetan Bong (Nottingham Forest, imefichwa)
Jan Mlaker (Brighton, mkopo)
Leon Balogun
(Brighton, mkopo)

BURNLEY
Wametua:
Josh Brownhill (Bristol
City, Pauni 9 milioni)

Wameondoka:
Ryan Cooney (Morecambe, mkopo)
Christian N’Guessan
(Oldham, mkopo)
Adam Phillips
(Morecambe, mkopo)
Anthony Glennon
(Grimsby, mkopo)
Scott Wilson
(Blyth Spartans, mkopo)
Tunde Bayode
(Curzon Ashton, mkopo)
Josh Benson
(Grimsby Town, mkopo)
Nahki Wells (Bristol
City, Pauni 5milioni)

CHELSEA
Wameondoka:
Danny Drinkwater (Aston Villa, mkopo)
Marc Guehi (Swansea, mkopo)
Conor Gallagher (Swansea, mkopo)
Victor Moses (Inter Milan, mkopo)
Jamal Blackman (Bristol Rovers, mkopo)
Charlie Brown (Royale Union Saint-Gilloise, mkopo)
Clinton Mola (Stuttgart, Pauni 330,000)
Tariq Lamptey (Brighton, Pauni 6milioni)

CRYSTAL PALACE
Wametua:
Scott Banks (Dundee United, imefichwa)
Cenk Tosun (Everton, mkopo)

Wameondoka:
Sam Woods
(Hamilton, mkopo)
James Daly
(Bristol Rovers, imefichwa)
Jason Lokilo
(Doncaster, mkopo)
Connor Wickham (Sheffield Wednesday, mkopo)
Scott Banks (Alloa, mkopo)

EVERTON
Wmetua:
Joao Virginia (amerudishwa kutoka kwenye mkopo)
Jarrad Branthwaite
(Carlisle, imefichwa)

Wameondoka:
Kieran Dowell (Wigan, mkopo)
Callum Connolly
(Fleetwood, mkopo)
Cenk Tosun
(Crystal Palace, mkopo)
Morgan Feeney (Tranmere, mkopo)
Lewis Gibson (Fleetwood, mkopo)
Jonas Lossl (Huddersfield, mkopo)

LEICESTER CITY
Wametua:
Ryan Bennett (Wolves, mkopo)

Wameondoka:
Raul Uche (Real Valladolid, imefichwa)
George Thomas
(ADO Den Haag, mkopo)
Andy King (Huddersfield, mkopo)
Admiral Muskwe
(Swindon, mkopo)
Kiernan Dewsbury-Hall (Blackpool, mkopo)
Mitchell Clark (Port Vale, mkopo)
Filip Benkovic (Bristol City, mkopo)

LIVERPOOL
Wametua:
Takumi Minamino (Red Bull Salzburg, Pauni 7.25milioni)
Joe Hardy (Brentford, imefichwa)

Wameondoka:
Herbie Kane (Hull, mkopo)
Rhian Brewster (Swansea, mkopo)
Isaac Christie-Davies
(Cercle Brugge, mkopo)
Allan Rodrigues de Souza (Atletico Mineiro, imefichwa)
Nathaniel Phillips
(Stuttgart, mkopo)
Daniel Atherton (Marine)

MANCHESTER CITY
Wameondoka:
Patrick Roberts
(Middlesbrough, mkopo)
Lukas Nmecha
(Middlesbrough, mkopo)
Angelino (RB Leipzig, mkopo)
Matt Smith (Charlton, mkopo)

MANCHESTER UNITED
Wametua:
Nathan Bishop
(Southend, imefichwa)
Bruno Fernandes (Sporting Lisbon, Pauni 68milioni)
Odion Ighalo
(Shanghai Shenhua, mkopo)

Wameondoka:
Ethan Hamilton (Bolton, mkopo)
Ashley Young
(Inter Milan, Pauni 1.3milioni)
Alex Fojticek
(Stalybridge Celtic, mkopo)
Max Taylor
(Stalybridge Celtic, mkopo)
Marcos Rojo
(Estudiantes LP, mkopo)

NEWCASTLE UNITED
Wametua:
Valentino Lazaro
(Inter Milan, mkopo)
Nabil Bentaleb (Schalke, mkopo)
Danny Rose (Tottenham, mkopo)

Wameondoka:
Kelland Watts (Mansfield, mkopo)
Ki Sung-yueng (ametemwa)

NORWICH CITY
Wametua:
Ondrej Duda
 (Hertha Berlin, mkopo)
Lukas Rupp
(Hoffenheim, imefichwa)
Sam McCallum
(Coventry, imefichwa)

Wameondoka:
Anthony Spyrou (ameachwa)
Carlton Morris
(MK Dons, mkopo)
Akin Famewo (St Mirren, mkopo)
Philip Heise
(FC Nurnberg, mkopo)
Dennis Srbeny
(Paderborn 07, imefichwa)
Rocky Bushiri
(Sint-Truiden, mkopo)
Louis Lomas
(Tampa Bay Rowdies, mkopo)
Louis Thompson
(MK Dons, mkopo)
Simon Power
(King’s Lynn, mkopo)
Sam McCallum (Coventry, mkopo)
Isak Thorvaldsson
(Fleetwood, mkopo)

SHEFFIELD UNITED
Wametua:
Sander Berge
(Genk, Pauni 22milioni)
Richairo Zivkovic (Changchun Yatai, mkopo)
Jack Robinson (Nottingham Forest, imefichwa)
Jack Rodwell (bure)
Panagiotis Retsos (Bayer Leverkusen, mkopo)

Wameondoka:
Richard Stearman
(Huddersfield, bure)
Tyler Smith (Rochdale, mkopo)
Harry Sheppeard (Steel Phalt Academy, mkopo)
Ben Heneghan
(Blackpool, mkopo)
David Parkhouse
(Stevenage, mkopo)
Callum Robinson
(West Brom, mkopo)
Kean Bryan (Bolton, mkopo)
Marcus Dewhurst
(Carlisle, mkopo)
Mark Duffy
(ADO Den Haag, mkopo)
Jake Wright (ameachwa)

SOUTHAMPTON
Wametua:
Kyle Walker-Peters
(Tottenham, mkopo)

Wameondoka:
Christoph Klarer
(SKN St Polten, mkopo)
Josh Sims
(New York Red Bulls, mkopo)
Kayne Ramsay
(Shrewsbury, mkopo)
Cedric Soares (Arsenal, mkopo)
Harry Hamblin
(Macclesfield, mkopo)
Maya Yoshida
(Sampdoria, mkopo)
Callum Slattery (De Graafschap, mkopo)

TOTTENHAM HOTSPUR
Wametua:
Giovani Lo Celso (Real Betis, Pauni 27 milioni)
Gedson Fernandes
(Benfica, mkopo)
Steven Bergwijn (PSV Eindhoven, Pauni 27milioni)

Wameondoka:
Jack Clarke (QPR, mkopo)
Paris Maghoma
(Brentford, imefichwa)
Christian Eriksen (Inter Milan, Pauni 17 milioni)
Kyle Walker-Peters
(Southampton, mkopo)
Cameron Carter-Vickers
(Luton, mkopo)
Kazaiah Sterling
(Leyton Orient, mkopo)
Anthony Georgiou
(Bolton, mkopo)
Tashan Oakley-Boothe (Stoke, imefichwa)

WATFORD
Wametua:
Joao Pedro (Fluminense, imefichwa)
Ignacio Pussetto
(Udinese, Pauni 7milioni)

Wameondoka:
Dimitri Foulquier
(Granada, mkopo)
Alex Jakubiak (St Mirren, mkopo)

WEST HAM UNITED
Wametua:
Darren Randolph
(Middlesbrough, imefichwa)
Tomas Soucek
(Slavia Prague, mkopo)
Jarrod Bowen
(Hull, Pauni 22 milioni)

Wameondoka:
Nathan Holland (Oxford, mkopo)
Conor Coventry (Lincoln, mkopo)
Joe Powell (Burton, imefichwa)
Martin Samuelsen (Hull, imefichwa)
Dan Kemp (Stevenage, mkopo)
Pontus Dahlberg
(Emmen, mkopo)
Sebastian Prodl (ameachwa)


WOLVES
Wametua:
Leonardo Campana (Barcelona SC, imefichwa)
Daniel Podence (Olympiacos, Pauni 17 milioni)
Luke Matheson (Rochdale, Pauni 1 milioni)

Wameondoka:
Elliot Watt (Carlisle, mkopo)
Ivan Cavaleiro (Fulham, imefichwa)
Patrick Cutrone
(Fiorentina, mkopo)
Connor Ronan
(Blackpool, mkopo)
Rafa Mir (Huesca, mkopo)
Harry Burgoyne
(Shrewsbury, imefichwa)
Benny Ashley-Seal (Accrington, mkopo)
Jordon Graham (Gillingham, mkopo)
Sylvain Deslandes (Arges Pitesti, imefichwa)
Luke Matheson (Rochdale, mkopo)
Ryan Giles (Coventry, mkopo)
Ryan Bennett
(Leicester, mkopo)