Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Samatta akimbiza

Mshambuliaji Mbwana Samatta ‘Samagol’

Muktasari:

Katika pambano hilo la Ligi Kuu nchini humo (Jupiler League) ambalo lilikuwa la sita kwake tangu aliposajiliwa mapema mwaka huu akuitokea TP Mazembe ya DR Congo, straika huyo wa kimataifa wa Tanzania alifunga bao hilo kwa kichwa dakika ya 23

MBWANA Samatta ‘Samagol’ juzi alianzishwa kwa mara kwanza kikosi cha kwanza cha Genk ya Ubelgiji na hakumuangusha kocha, baada ya kufunga bao lililoisaidia klabu hiyo kupata ushindi wa mabao 4-1. Katika pambano hilo la Ligi Kuu nchini humo (Jupiler League) ambalo lilikuwa la sita kwake tangu aliposajiliwa mapema mwaka huu akuitokea TP Mazembe ya DR Congo, straika huyo wa kimataifa wa Tanzania alifunga bao hilo kwa kichwa dakika ya 23. Mpaka sasa nahodha huyo wa Tanzania ametumia dakika 152 kuichezea timu hiyo ambayo ilifikisha pointi 48 na kuganda nafasi ya tano katika msimamo wa ligi hiyo.

Usikose mfululizo wa makala maalum za maisha ya Mbwana Samatta Ulaya kuanzia Jumamosi hii kwenye Gazeti la Mwanaspoti kama alivyofanya mahojiano maalum na mwandishi na mchambuzi wa gazeti hili, Edo Kumwembe. Jiandae kujua mengi.