LIVE: Kinachoendealea Azam Complex, Rayvanny atinga na gwaride

#LIVE: Kinachoendealea Azam Complex | Rayvanny atinga na gwaride

Baada ya Simba, Yanga kumalizana hapo jana kwenye Ngao ya Jamii leo shangwe limehamia Azam Coplex ambapo siku siku yao maalum kama wanavyoiita 'AZAMKA'.

Azam FC inatarajia kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Zesco United ya Zambia kwenye uwanja wa Azam Complex saa 2:00 usiku.