Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Ishu ya Zari, Diamond yatikisa hadi Wazambia

Muktasari:

Unaweza kulichukulia poa suala hili, lakini ukweli wa mambo ni kwamba wawili hao wamekuwa kivutio kikubwa kwa wadau mbalimbali.

UNAMJUA staa wa Zambia, Stoppila Sunzu? Basi bwana staa huyo amekuwa akifuatilia sakata la msanii wa Bongofleva, Diamond na Zari na hamu yake kubwa ni kujua kama wazazi hao wametemana au wanaendelea.

Unaweza kulichukulia poa suala hili, lakini ukweli wa mambo ni kwamba wawili hao wamekuwa kivutio kikubwa kwa wadau mbalimbali.

Stoppila kwa sasa anacheza soka la kulipwa Urusi akiicheze Arsenal Tula iliyomchukua kwa mkopo kutoka Lille ya Ufaransa pia ni mdogo wa straika wa zamani wa Simba, Felix Sunzu.

Pamoja na kuwa Urusi, anawafuatilia Diamond na Zari kwa ukaribu na katika kuonyesha kuwa ni mdau wao, mara kwa mara amekuwa akipiga simu kwa mwandishi kutaka kufahamu kinachoendelea zaidi ya kuwafuatilia mitandaoni.

“Hivi Diamond na Zari kweli wameachana? Wana nini hawa au wivu unawasumbua?” Alihoji Sunzu.