Azam yaivunja rekodi ya Yanga, yakata tiketi ya fainali CRDB Cup
NDIO kama ulivyosikia hivyo matajiri wa Chamazi, Azam FC wametibua uwezekano wa kuwepo kwa dabi ya tano ya Kariakoo msimu huu baada ya kuifunga Yanga mabao 3-2, katika mechi ya nusu fainali ya...