ePaper

Mwanaspoti

Tafuta

Picha Picha

Search
  • Soka
  • Burudani
  • Kolamu
  • Spoti Majuu
  • Spoti Kenya
  • Video
  • Picha

  • ePaper

    • Mwanaspoti

Picha

Tanzania Prisons yapiga ubweche kuiua Yanga

Jumapili, Desemba 04, 2022

MAAFANDE wa Tanzania Prisons wapo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya pambano la Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga, lakini kabla ya pambano hilo linalopigwa leo Jumapili kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jamaa walitinga ofisi za wadhamini wao na baadaye wakaupiga ubweche kwa lengo la kupata ushindi.

Timu hizo zinakutana kuanzia saa 1:00 usiku, huku kila moja ikitoka kupata matokeo tofauti, vinara Yanga walipoteza mbele ya Ihefu mabao 2-1, Prisons ikitoka suluhu na KMC ndipo wakatinga Dar na kuzitembelea ofisi za wadhamini wao, Silent Ocean Ltd na Kilimanjaro Star Cargo.

Photo: 1/3   

Photo: 2/3   

Photo: 3/3   

Thank you for reading Nation.Africa

Show plans

In the headlines

  • Soka
  • Burudani
  • Kolamu
  • Spoti Majuu
  • Spoti Kenya
  • Video
  • Picha
  • Dejan atoa sababu tatu, sinema nzima ilikuwa hivi...

    ‘KWAHERI Mzungu...Kwaheri Mzungu...ndio kibwagizo kilichosikika mchana wa jana wakati, straika wa Simba, Dejan Georgijevic alipowasili Bandarini Jijini Dar es Salaam, akitokea visiwani Zanzibar...

    Soka Sep 30
  • Bangala amkaushia Ibenge

    KIRAKA wa Yanga, Yannick Bangala, amevunja ukimya na kuwatumia salamu mashabiki wa klabu hiyo kuwa, iwe isiwe ni lazima chama lao litinge makundi, huku akimfungia vioo kocha wake wa zamani...

    Soka Sep 30
  • Siku 52 za Dejan Simba, kisa cha kuondoka

    Nyota huyo aliondoka kambini kwenda Bandarini kwa ajili ya kurejea Dar es Salaam alikofika saa 8:30 mchana kisha alikwenda ofisi za Simba kukamilisha taratibu zake za kumalizana na timu hiyo ili...

    Soka Sep 29

All Top Stories
  • Soka
  • Burudani
  • Kolamu
  • Spoti Majuu
  • Spoti Kenya
  • Video
  • Picha
  • Contact us
  • Webmail
  • ePaper
  • Frequently asked questions
  • NMG Privacy Policy
  • Terms of use
  • Terms and Conditions of Use
  • Our Blog Rules

Mwanaspoti © 2023

Decoration