ePaper

Mwanaspoti

Tafuta

Picha Picha

Search
  • Soka
  • Burudani
  • Kolamu
  • Spoti Majuu
  • Spoti Kenya
  • Video
  • Picha

  • ePaper

    • Mwanaspoti

Picha

Simba yadondosha pointi kimataifa

Jumanne, Februari 14, 2023

WAWAKILISHI wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Barani Afrika Klabu ya Simba imeanza vibaya michuano hiyo baada ya kupokea kichapo cha bao 1-0 dhidi ya Horoya ya Guinea kwenye mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi uliochezwa Uwanja wa General Lansana Conte.

Baada ya mchezo huu Simba itashuka tena kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa kucheza na Raja Casablanca huku Horoya ikisafiri hadi jijini Kampala kukabiliana na Vipers ambapo michezo yote ya mzunguko wa pili itapigwa Jumamosi, Februari 18, 2023.

Photo: 1/3   

Photo: 2/3   

Photo: 3/3   

Thank you for reading Nation.Africa

Show plans

In the headlines

  • Soka
  • Burudani
  • Kolamu
  • Spoti Majuu
  • Spoti Kenya
  • Video
  • Picha
  • Dejan atoa sababu tatu, sinema nzima ilikuwa hivi...

    ‘KWAHERI Mzungu...Kwaheri Mzungu...ndio kibwagizo kilichosikika mchana wa jana wakati, straika wa Simba, Dejan Georgijevic alipowasili Bandarini Jijini Dar es Salaam, akitokea visiwani Zanzibar...

    Soka Sep 30
  • Bangala amkaushia Ibenge

    KIRAKA wa Yanga, Yannick Bangala, amevunja ukimya na kuwatumia salamu mashabiki wa klabu hiyo kuwa, iwe isiwe ni lazima chama lao litinge makundi, huku akimfungia vioo kocha wake wa zamani...

    Soka Sep 30
  • Siku 52 za Dejan Simba, kisa cha kuondoka

    Nyota huyo aliondoka kambini kwenda Bandarini kwa ajili ya kurejea Dar es Salaam alikofika saa 8:30 mchana kisha alikwenda ofisi za Simba kukamilisha taratibu zake za kumalizana na timu hiyo ili...

    Soka Sep 29

All Top Stories
  • Soka
  • Burudani
  • Kolamu
  • Spoti Majuu
  • Spoti Kenya
  • Video
  • Picha
  • Contact us
  • Webmail
  • ePaper
  • Frequently asked questions
  • NMG Privacy Policy
  • Terms of use
  • Terms and Conditions of Use
  • Our Blog Rules

Mwanaspoti © 2023

Decoration