Muonekano wa juu maendeleo ujenzi wa Samia Complex Arusha
Muonekano wa juu Uwanja wa Samia Complex inaojenjwa Olmoti jijini Arusha. Uwanja huo unatarajiwa kutumika kwa ajili ya mashindano ya fainali za AFCON 2027 yatakayofanyika kwenye nchi tatu Tanzania, Kenya na Uganda.