Picha Kanuni yambeba Aziz KI kwa Saido Ijumaa, Februari 09, 2024 NYOTA wa Yanga, Stephane Aziz KI amejikusanyia jumla ya pointi zake 19 katika Ligi Kuu Bara msimu huu na kumpiku kiungo mshambuliaji wa Simba Mrundi, Saidi Ntibazonkiza 'Saido' mwenye pointi sita akiwa na kikosi hicho cha Msimbazi. Photo: 1/3 View caption Photo: 2/3 View caption Photo: 3/3 View caption Login to join the discussion Please enable JavaScript to view the comments powered by Disqus.
PRIME Kipa Simba atimkia Morocco WAKATI mabosi wa Simba wakiendelea kujadiliana juu ya kumtema kipa Moussa Camara au la, taarifa kutoka klabu hiyo ya Msimbazi zinadokeza kuwa, mabosi hao wamemalizana na kipa Ayoub Lakred ambaye...
PRIME Mpanzu anahesabu siku tu WAKATI mashabiki na wapenzi wa Simba wakiendelea kujiuliza kilichowakuta katika pambano la Dabi ya Kariakoo kwa kulazwa mabao 2-0 na Yanga, kuna taarifa ya kushtua ambayo huenda wasingependa...
Kipa Pamba amtaja Manula KIPA wa Pamba Jiji, Yona Amos aliyemaliza nafasi ya nne kwa makipa waliokuwa na ‘clean sheets’ nyingi baada ya Moussa Camara wa Simba, Diarra Djigui na Patrick Munthari ameshindwa kujizuia na...