Picha Enner Valencia wa Ecuador mchezaji bora mechi ya ufunguzi Kombe la Dunia akiifunga Qatar 2-0 Jumatatu, Novemba 21, 2022 Photo: 1/1 View caption Please enable JavaScript to view the comments powered by Disqus. Join the discussion Login with your Nation account Commenting as user.name Please add your name to your Nation profile to comment
Dejan atoa sababu tatu, sinema nzima ilikuwa hivi... ‘KWAHERI Mzungu...Kwaheri Mzungu...ndio kibwagizo kilichosikika mchana wa jana wakati, straika wa Simba, Dejan Georgijevic alipowasili Bandarini Jijini Dar es Salaam, akitokea visiwani Zanzibar...
Bangala amkaushia Ibenge KIRAKA wa Yanga, Yannick Bangala, amevunja ukimya na kuwatumia salamu mashabiki wa klabu hiyo kuwa, iwe isiwe ni lazima chama lao litinge makundi, huku akimfungia vioo kocha wake wa zamani...
Siku 52 za Dejan Simba, kisa cha kuondoka Nyota huyo aliondoka kambini kwenda Bandarini kwa ajili ya kurejea Dar es Salaam alikofika saa 8:30 mchana kisha alikwenda ofisi za Simba kukamilisha taratibu zake za kumalizana na timu hiyo ili...