Nahodha wa Simba, John Bocco amefanikiwa kupata bao la kwanza Ligi Kuu ya NBC msimu huu wa 2021/2022 katika mchezo dhidi ya Ruvu Shooting uliochezwa uwanja wa Mkapa baada ya siku 294 bila kuona nyavu.
Bocco mara ya mwisho kufunga bao kwenye Ligi kuu ni Julai 18 2021 dhidi ya Namungo.