Pep Guardiola kuishuhudia Man City Etihad PEP Guardiola anatarajiwa kurejea Uwanja wa Etihad wiki ijayo kushuhudia Manchester City ikikipiga dhidi ya Paris Saint-Germain katika Ligi ya Mabingwa Ulaya, ikiwa ni mara yake ya kwanza kufika...
Max Dowman avunja rekodi NYOTA chipukizi wa Max Dowman wa Arsenal ametunukiwa rekodi tatu za dunia za Guinness kufuatia msimu wake wa kuvutia katika kikosi cha kwanza.