Ni Sowah tena Singida BS ikiikaanga Fountain Gate ACHANA na ushindi wa mabao 3-0 walioupata Singida Black Stars, ishu ni mshambuliaji wa timu hiyo, Jonathan Sowah ambaye ametupia bao lake la nane msimu huu.
Simba, Yanga kukipiga Zanzibar MABINGWA watetezi wa wa Kombe la Muungano, Simba wanatarajia kushiriki mashindano hayo yanayotarajia kuanza Aprili 21 hadi 27, mwaka huu, Zanzibar.
PRIME Kauli ya Kagoma kwa Simba usiku LICHA ya kutokuwa na uzoefu mkubwa kimataifa timu yake ikicheza mchezo wa kwanza hatua ya robo fainali Kombe la Shirikisho Afrika, kiungo Yusuph Kagoma amewatoa hofu wanasimba.
Maxime asaka dawa ya mabao Dodoma Jiji KOCHA Mkuu wa Dodoma Jiji, Mecky Maxime amesema moja ya kazi anayoendelea kuifanya kwenye uwanja wa mazoezi ni kuinoa zaidi safu yake ya ushambuliaji ambayo imekuwa ikipoteza nafasi...
Malale Hamsin atua Mbeya City UONGOZI wa Mbeya City umemalizana na aliyekuwa kocha wa JKT Tanzania Malale Hamsin baada ya aliyekuwa kocha wa timu hiyo kutimkia Mashujaa.
Julio ashtukia jambo Kiluvya United KOCHA mpya wa Kiluvya United, Julio Elieza amesema kwa nafasi iliyopo timu hiyo kwa sasa bado haiwapi kiburi cha kuamini moja kwa moja kama watabakia kwa msimu ujao, hivyo anapambania kuhakikisha...
Kocha JKT ataja mbinu 3 zitakazo mbeba Ligi Kuu LIGI inatarajia kurejea keshokutwa ambapo kocha wa JKT Tanzania, Ahmed Ally ametaja mbinu tatu zitakazombeba kwenye mechi saba zilizobaki huku akitambia rekodi ya uwanja wa nyumbani kuwa hana...
Mgunda: Msihofu, Namungo haishuki WAKATI Namungo inapambana kujiengua kwenye hatari ya kushuka daraja, Kocha Mkuu Juma Mgunda amesema anafahamu mtihani alionao, lakini akiwatoa hofu mashabiki kuwa wana nafasi ya kufanya vizuri...
Singida Black Stars ni Azam FC na Tabora United tu! KOCHA Mkuu wa Singida Big Stars (SBS), David Ouma amesema Azam FC na Tabora United zimeshika hatma ya timu hiyo kumaliza nafasi tano za juu kutokana na kuwa na mechi na timu hizo ambazo pia...
Kally asaka dawa mechi saba KMC LICHA ya kushindwa kubebwa na rekodi ya kupata matokeo mazuri mechi za ugenini Ligi Kuu Bara, kocha wa KMC, Kally Ongala amesema ametafuta dawa ya kupata matokeo mechi saba zilizobaki huku akiwa...