Al Ahly yaanza kubeba mataji WAKATI ikisikilizia droo ya merchi za robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa ndio watetezi wa taji, Al Ahly ya Misri imeanza kukusanya mataji ya msimu huu baada ya jana usiku kuwafumua...
Bruno wa Singida FG atambulishwa Brazil KIUNGO wa zamani wa Singida Fountain Gate, Bruno Gomes amerejea nchini kwao Brazil na kujiunga na timu ya Athletic Club inayoshiriki Ligi Daraja la Pili. Mchezaji huyo alitangaza siku chache...
Mapenzi ya Mbappe na ulevi wa matajiri wa PSG KUNA msemo unasema ‘heri wali maharage kwenye amani kuliko kula pilau vitani’. Inawezekana ukawa na tafsiri nyingi sana lakini moja kati ya hizo ni heri upate hata kidogo lakini uwe na furaha...
JIWE LA SIKU: Dube katikati ya Fei Toto na Gallas IMEPITA zaidi ya miezi mitano tangu kumalizika kwa sakata la mchezaji Feisal Salum "Fei toto' ambaye kwa sasa anaichezea Azam. Wakati nchi ikiwa inamalizia maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Rais...
Simba, Yanga zawafunika Waarabu CAF TANGU mwaka 2014, walau timu moja kutoka Algeria au Morocco zilifanikiwa kuingia kwenye hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika, lakini rekodi hiyo imeharibiwa na Simba na Yanga...
Hatima ya Simba, Yanga CAF ni hii Baada ya kupita kwenye hatua ya makundi, sasa Simba na Yanga zinatarajiwa kujua zitakutana na nani kwenye hatua ya robo fainali katika droo ambayo itachezeshwa Machi 12, 2024 huko Cairo...
BAO LA MKONO: Kifo cha Raiola kilivyompa Rafaela uwakala kwa Haaland Pimenta mara kadhaa amekuwa akinukuliwa akisema kwamba kibarua hicho kimekuwa kigumu sana kwa sababu mawakala wengi wanawatamani wachezaji ambao yeye anawamiliki.
Man United yaipa urahisi Man City BAADA ya kukubali kichapo cha mabao 3-1, kutoka kwa majirani zao Manchester City, mashetani wekundu kutoka pale Old Trafford, Manchester United ni kama wamewapa urahisi mahasimu wao hao kwenye...
Simba ni rekodi tu CAF HIZI ndio zetu, hizi ndio shoo za Chama. Kisasi ni haki. Unyama ni mwingi sama. Ndivyo walivyokuwa wakitamba mashabiki wa Simba baada ya timu hiyo ya Msimbazi kutinga hatua ya robo fainali ya CAF...
Simba hatari kwenye boksi KATIKA kipindi cha kwanza cha mchezo kati ya Simba na Jwaneng Galaxy hapa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, ambapo Simba inaongoza kwa mabao 3-0, Mnyama alikuwa ni hatari sana kwenye boksi la...