Siri ya mafanikio ya kaseja kagera APRILI 4, mwaka huu, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar, Juma Kaseja alitimiza mwezi mmoja tangu akabidhiwe timu hiyo akichukua mikoba ya Melis Medo aliyetimkia Singida Black Stars.
Yanga yatua kwa kiungo Kenya Police YANGA imeanza mapema harakati za kuboresha kikosi chake kwa ajili ya msimu ujao huku ikipiga hodi katika Ligi Kuu Kenya kwenye kikosi cha Kenya Police FC.
Pamba Jiji, Tabora United kukumbushia yaliyopita? PAMBA Jiji itakuwa inakumbuka kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Tabora United mwaka jana katika mechi ya duru la kwanza ya Ligi Kuu Bara, licha ya kwamba tangu kuanza kwa duru la pili timu hiyo...
PRIME Dube ashtua Yanga, ataka rekodi MSHAMBULIAJI wa Yanga, Prince Dube anakimbiza mwizi kimya kimya kwa kufukuzia rekodi yake mwenyewe licha ya kuwa na msimu bora zaidi ndani ya kikosi cha timu hiyo.
Matano awaweka kikao mabeki Fountain Gate KOCHA Mkuu wa Fountain Gate, Robert Matano amesema kipigo ilichokipata timu hiyo na kupoteza kwa mabao 3-0 dhidi ya Singida Black Stars kinaendelea kuiweka kwenye hali mbaya safu yake ya ulinzi...
Mtibwa Sugar bado 9 tu Championship Mtibwa Sugar kwa sasa inahitaji pointi tisa tu kurejea Ligi Kuu Tanzania Bara, baada ya kuteremka msimu uliopita.
Kocha Singida Black Stars amsifu Sowah BAADA ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Fountain Gate, Kocha Mkuu wa Singida Black Stars, David Ouma amesifu juhudi zilizooneshwa na wachezaji wake katika mchezo huo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa...
Pacome apata jeuri ya ubingwa KIWANGO bora kinachoendelea kuonyeshwa na Yanga huku ikipata ushindi mfululizo ugenini na nyumbani, imempa jeuri kiungo mshambuliaji wa timu hiyo Yanga, Pacome Zouzoua ambaye ameliambia...
Kali Ongala siku 139 mechi tatu KOCHA Mkuu wa KMC, Kali Ongala amepata ushindi wake wa tatu ndani ya timu hiyo katika kipindi cha siku 139 tangu akabidhiwe kikosi hicho Novemba 14, 2024 akichukua nafasi ya Abdihamid Moallin...
KenGold, Kagera Sugar na mtihani mzito nyumbani RAUNDI ya 24 ya Ligi Kuu Bara inaendelea Alhamisi hii kwa michezo mitatu kupigwa huku miwili ikiwa ya mapema kuanzia saa 10:00 jioni na mmoja saa 1:00 usiku.