Gyokeres akataa kutabiri atakapocheza 2025/26 STRAIKA wa Sporting Lisbon, Viktor Gyokeres amekataa kutabiri juu ya wapi anaweza kutua dirisha lijalo la majira ya kiangazi akisisitiza 'hakuna anayeweza kutabiri kitakachotokea.'
Arsenal waibeba Man United England BAADA ya kupata ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Ipswich Town, Arsenal imeiondolea presha Manchester United juu ya suala la kushuka daraja.
PRIME Azizi KI agonganisha Waarabu wa Morocco YANGA imekaa mkao wa kuvuna mamilioni ya kufuru kupitia kiungo mshambuliaji, Stephanie Aziz KI lakini huko Uarabuni kuna vita kubwa inapigwa kati ya klabu mbili.
Guardiola alilia michuano ya UEFA KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola amesema mafanikio makubwa kwa kikosi chake kwa msimu huu ni kufuzu kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao.
Lewandowsk kuikosa El Classico STRAIKA wa Barcelona, Robert Lewandowski anatarajiwa kuukosa mchezo wa El Classico dhidi ya Real Madrid baada ya kupata majeraha ambayo yatamweka nje kwa Zaidi ya wiki tatu.
ATM YA WIKI: Mo Salah mkataba mpya, utajiri mpya MOJA kati ya habari kubwa kwa mashabiki wa Liverpool kwa mwezi huu ilikuwa ni kusaini mkataba mpya wa miaka miwili ambao utamwezesha kusalia hadi mwaka 2027.
Watkins, Marcus Rashford kupishana Man United MANCHESTER United inaangalia uwezekano wa kufanya mabadilishano na Aston Villa na inataka kumtumia Marcus Rashford ili wampate Ollie Watkins.
Soweto Dabi inapoipeleka shule Kariakoo Dabi KAMA wewe ni shabiki wa Yanga au Simba na una tabia ya kununua tiketi siku ya mchezo pindi timu hizo zinapokutana katika Kariakoo Dabi, basi soma hii.
Kocha: Maguire aanze mbele KOCHA wa zamani wa Tottenham Hotspur, Harry Redknapp amesema angekuwa anaifundisha Manchester United kwa sasa, basi straika wake namba moja angemfanya kuwa Harry Maguire kutokana na namna...
Orlando Magic ni mwaka wao? KOCHA wa Orlando Magic, Jamahl Mosley amekuwa kwenye NBA miaka 20, lakini hajawahi kushuhudia msimu wa ajabu kama huu ambao wachezaji, benchi la ufundi na wafanyakazi wa Magic wamepitia.