PRIME Upepo wa ubingwa Bara, mtego upo hapa! UPEPO umebadilika. Upepo wa mbio za ubingwa wa Ligi Kuu Bara umebadilika baada ya timu kadhaa zilizokuwa zikichuana na vigogo Simba na Yanga kujichuja wenyewe njiani.
Fadlu: Sasa tunawataka Al-Masry BAADA ya ushindi mnono wa mabao 6-0 dhidi ya Dodoma Jiji katika Ligi Kuu Bara, Kocha wa Simba, Fadlu Davids ameonyesha kuridhishwa na kiwango kilichoonyeshwa na kikosi chake akisisitiza kuwa kazi...
Mangungu atoa kauli Yanga kwenda CAS MWENYEKITI wa Simba SC, Murtaza Mangungu amegusia taarifa ya Klabu ya Yanga kuwa inataka kwenda Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Michezo (CAS), kudai pointi tatu za mchezo wa Kariakoo Dabi...
Ahoua, Kibu wafunika, Simba ikiifyatua Dodoma Jiji TUSIZOEANE. Ni kama onyo kali vile ilichofanya Simba jioni ya leo katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Dodoma Jiji kwa kuweka rekodi ya kibabe huku wakipunguza utofauti wa pointi kati yao na...
Manula, Samatta kuwakosa Morocco KOCHA wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Hemed Suleiman ‘Morocco’ amesema kukosekana kwa nahodha Mbwana Samatta kutaliwezesha benchi la ufundi kuwa na mpango mbadala katika mchezo wa...
PRIME Fadlu: Mastaa Simba waliitaka Dabi KOCHA wa Simba, Fadlu Davids, amepongeza juhudi za wachezaji wa timu hiyo baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya TMA Stars na kutinga 16 Bora ya Kombe la Shirikisho, lakini akifichua kuhusu Dabi...
Mbele ya Mpanzu kazini kwa Balua kuna kazi EDWIN Balua alikuwa miongoni mwa wachezaji waliotarajiwa kung’ara ndani ya kikosi cha Simba SC msimu huu, hasa baada ya kuonyesha kiwango bora chini ya Juma Mgunda mwishoni mwa msimu uliopita...
Simba yaichapa TMA, yafuzu 16 bora SIMBA imetinga hatua ya 16 bora ya Kombe la Shirikisho (FA) kufuatia kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya TMA Stars kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam, leo, ambapo...
Minziro akalia kuti kavu Pamba JIji KOCHA wa Pamba Jiji, Fred Felix ‘Minziro’, amejikuta kwenye presha kubwa kutokana na mwenendo mbaya wa timu hiyo katika mechi mbili zilizopita za ligi, hali inayochochea madai baadhi ya wachezaji...
Beki Azam atua Ulaya BEKI wa kushoto raia wa Senegal, Cheick Sidibe amejiunga na klabu ya HJK Helsinki ya Finland akiwa mchezaji huru baada ya kuachana na matajiri wa Chamazi, Azam FC.