PRIME Yanga, Inonga kuna jambo! iko hivi KIKOSI cha Yanga kimeanza maandalizi ya mchezo wa ugenini wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Fountain Gate, lakini kukiwa na taarifa kwamba mabosi wa klabu hiyo wameanza hesabu za kumrejesha nchini beki...
PRIME Siku 14 kuamua hatma ya Pacome Yanga KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Pacome Zouzoua atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa siku 10 hadi 14 baada ya kuumia kifundo cha mguu (ankle sprain).
Pointi tano zampa nguvu Mgunda POINTI tano ilizovuna Namungo kupitia mechi tatu zilizopita za Ligi Kuu Bara, zimempa kiburi kocha mkuu wa timu hiyo, Juma Mgunda aliyesema licha ya kikosi hicho kuyumba mwanzoni, bado anaamini...
Jaffar Kibaya aamsha mzuka Mashujaa MSHAMBULIAJI wa Mashujaa, Jaffar Kibaya anayemiliki mabao matatu hadi sasa katika Ligi Kuu, ametoa hamasa kwa mastaa wenzake hususani wanaocheza eneo la ushambuliaji kutumia kwa makini nafasi...
Vigogo African Sports wala kiapo Championship KATIKA kuhakikisha African Sports inakwepa janga la kushuka daraja, viongozi wa kikosi hicho wamefanya kikao cha kujadili mambo mbalimbali yanayoihusu, huku kubwa ni jinsi gani ya kukabiliana na...
PRIME Dube: Kuna jambo linakuja TANGU mshambuliaji Prince Dube aanze kucheza Ligi Kuu Bara 2020/21, amesema huu wa sasa ndio anaamini kwamba una tofauti katika maisha yake ya soka, huku akidai kuna kitu cha zaidi kinakuja.
Taoussi: Yanga ilituzidi ubora Kipigo cha jana usiku kilikuwa cha tano msimu huu kwa Azam ikicheza mechi 26, ushindi 15, sare sita ikifunga mabao 39 huku yenyewe ikifungwa 15.
Sababu Matano kutoonekana Fountain Gate KUTOONEKANA kwa Kocha Robert Matano kwenye benchi la ufundi la Fountain Gate katika mechi mbili zilizopita za Ligi Kuu Bara, kumeibua maneno mengi zikimuhusisha na kutimuliwa kwake baada ya...
Kaseja azichungulia dakika 180 za kubaki KOCHA Mkuu wa Kagera Sugar, Juma Kaseja ameshtushwa na mfululizo wa matokeo mabaya ya kikosi chake kilichopoteza mechi mbili mfululizo za ligi huku akikiri mambo yanazidi kuwa magumu kwao.
Vita ya ubingwa Ligi Kuu sasa Simba, Yanga KILA siku zinavyozidi kwenda, Azam FC inashuka kiwango huku kipigo cha mabao 2-1 ilichokipata kutoka kwa Yanga, kikiweka rehani nafasi yao ya kushiriki michuano ya kimataifa msimu ujao huku ikiwa...