Mo Dewji amkingia kifua Ahoua, aitaja Stellenbosch SIKU moja baada ya kiungo wa Simba, Charles Ahoua kukosa nafasi ya wazi ambayo ingeisaidia timu hiyo kushinda mabao mawili dhidi ya Stellenbosch ya Afrika Kusini kwenye uwanja wa nyumbani...
Fountain Gate yamkomalia Yusuphu Athuman SIKU chache baada ya mshambuliaji Yusuph Athuman kutambulishwa na Yangon United ya Ligi Kuu Myanmar, uongozi wa Fountain Gate imeibuka na kuweka wazi kuwa bado ni mchezaji wao halali.
Fei Toto aipa pigo Azam FC KIKOSI cha Azam kipo Bukoba kwa ajili ya mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar, lakini kikiwa na pigo baada ya kiungo mshambuliaji nyota, Feisal Salum ‘Fei Toto’ kutokuwepo kutokana na...
Gomez achekelea kombe la dunia MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga klabu ya Wydad Casablanca ya Morocco, Selemani Mwalimu ‘Gomez’ amesema licha ya kutokuwa na uhakika wa kucheza katika kikosi cha kwanza, lakini...
Ambundo ajichomoa Fountain Gate KIUNGO mshambuliaji wa Fountain Gate, Dickson Ambundo amejiengua katika kikosi hicho kwa madai ya kutolipwa malimbikizo ya fedha zikiwamo za usajili zipatazo Sh50 milioni.
Kocha Azam FC bado hajatupa taulo Bara KOCHA Mkuu wa Azam FC, Rachid Taoussi amesema bado hajakata tamaa ya kupambana kumaliza ndani ya Nne Bora ya Ligi Kuu na kwa sasa anarejea tena katika vita ya ligi hiyo kwa kukabiliana na Kagera...
Sokoine kuna vita ya maafande UHONDO wa Ligi Kuu Bara umerejea tena baada ya kusimama kwa wiki moja ambapo viwanja viwili leo Ijumaa vitawaka moto, kazi kubwa ikiwa kwenye Uwanja wa Sokoine, jijini Mbeya wakati maafande wa...
PRIME Hamdi aja na mkakati wa siku 5 Yanga KOCHA Mkuu wa Yanga, Miloud Hamdi amesema licha ya ugumu wa ratiba iliyonayo timu hiyo, lakini ametengeneza mkakati kabambe wa siku tano ili kuendelea kugawa dozi kama kawaida katika Ligi Kuu...
PRIME Rekodi zaibeba Simba Amaan BAADA ya Simba kutanganza kuwa mechi yao dhidi ya Stellenbosch FC ya Afrika Kusini itachezwa kwenye Uwanja wa Amaan Zanzibar, wadau wa soka wameitaka kujiandaa vizuri ili kutumia vizuri uwanja...
DAKIKA ZA JIOONI: KMC bado haieleweki KUTOKA nafasi ya tano hadi hivi sasa kupiga hesabu za vidole kuepuka kushuka daraja, inadhihirisha wazi kwamba KMC imekuwa na kiwango cha kupanda na kushuka.