Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

194 results for OMARY MDOSE :

  1. Dabi imewakalia kushoto

    KATI ya mambo ambayo wachezaji wa Simba na Yanga wanapenda kuyafanya katika maisha yao ya soka ni kucheza mechi za ushindani hasa Kariakoo Dabi.

    VIBAYA Pict
  2. PRIME Hizi ndizo dakika za Dabi ya Kariakoo

    KATIKA mambo ambayo mashabiki wa soka wanapenda kuyaona kwenye Kariakoo Dabi Jumamosi hii, basi nyavu kutikiswa tena ikiwezekana kwa idadi kubwa ya mabao kama ilivyokuwa Novemba 5, 2023 Yanga...

    DAKIKA Pict
  3. Mokono ailaza KMC, Matano akipata ushindi wa pili

    Mshambuliaji wa Fountain Gate, Elie Mokono ameibuka shujaa kutokana na mabao yake mawili kutosha kuwapa pointi tatu wakiichapa KMC 1-2.

  4. Ligi Kuu Bara leo ni mechi za kimkakati

    LIGI Kuu Bara imeanza kuchangamka kwani ngwe ya lala salama imezifanya kila timu iingie uwanjani ikiwa na mkakati mkali sana kulinganisha na ilivyokuwa awali.

  5. PRIME Davids Fadlu, Hamdi namba zinaongea

    WANASEMA mchezo wa Dabi hauna mwenyewe. Mara kadhaa matokeo yake huwa ya kushangaza yakiwa hayajatarajiwa na wengi, lakini wakati mwingine wazoefu wana nafasi yao kubwa ya kufanya vizuri.

  6. Wanauliza, tuwapige ngapi?

    HAKUNA kulala wala kuzubaa ndivyo ilivyo katika mechi za duru la pili za Ligi Kuu Bara wakati leo tena vita itaendelea kwenye viwanja viwili tofauti, huku kazi kubwa ikiwa jijini Dar es Salaam...

    Yanga Pict
  7. JKT vs Singida BS patachimbika Mej. Jen Isamuhyo

    REKODI ya JKT Tanzania kuwa timu pekee kwenye Ligi Kuu Bara msimu huu ambayo haijapoteza mechi nyumbani itaendelea kudumu? Hilo ni swali wanalojiuliza wengi wakati Wanajeshi hao wa Kujenga Taifa...

  8. PRIME Ukipigwa umekwisha mbio za ubingwa Ligi Kuu Bara

    MBIO za ubingwa wa Ligi Kuu Bara zimeshika kasi na kufikia patamu. Licha ya kwamba hadi sasa ubingwa huo kuwa wazi kwa timu tano, lakini Simba na Yanga wakionekana na nafasi nzuri.

  9. Chikola aibeba Tabora United ikiichapa Kagera

    BAO moja na asisti moja, vimetosha kumfanya kiungo mshambuliaji wa Tabora United, Offen Chikola kuwa shujaa wa kikosi hicho dhidi ya Kagera Sugar.

    Tabora Pict
  10. Aliyewazuia Dube, Mzize afichua siri, amtaja Chama

    YALE makali ya washambuliaji wa Yanga, Clement Mzize na Prince Dube waliyoyaonyesha mechi saba zilizopita katika Ligi Kuu Bara, kipindi cha Kocha Sead Ramovic, yamezimwa leo Jumatatu na JKT...

Previous

Page 5 of 20

Next